Ukiangalia jukwaa liloandaliwa kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya Mwalimu JK Nyerere pale kigoma utaona mbele wametumia rangi ya Kijani na njano na nyuma ya Jukwaa wametumia zilisosalia hii...
Kila jioni baada ya kazi ngumu za kutafuta ugali huwa napitia blogu na magazeti yote ya Tanzania yanayopatikana kwenye mtandao na kusoma karibu makala zake zote. Kubwa iliyonifurahisha leo ni hii...
In one of his speech Nyerere once said Road contract in ASIA awarded to someone the road will be built but in Afrika it wont be built
MY TAKE
Maneno mazito hayo tena in Afrika ata kama...
Kikwete, mgombea binafsi kwa staili ya BMW?
?
Sarwed Dawalo
*
NYAKATI zimepita na majira ya uchaguzi kwa mara nyingine yamewadia hapa nchini. Uchaguzi Mkuu wa safari hii utakuwa wanne...
Watanzania leo tunaikumbuka cku ambayo baba wa taifa Mwl J.K Nyerere alitutoka.
Kiukweli kabisa mwalima alifanya mambo mengi mazuri na machache mabaya kama binadamu.
Jukumu letu kama watanzania...
naam wakuu
nimeona polls mbali mbali tafiti mbali zikionesha nani atakuwa Rais wa Muungano ambazo bila shaka ni JK
ila sijasikia si Redet, si wengine wakizungumzia kuhusu zanzibar
sasa nani...
Miaka 11 toka tukupoteze kipenzi chetu Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.Mpenda HAKI,Mpinga UONEVU na UNYONYAJI.Leo hii Tanzania na Watanzania ULIWAPENDA na KUWATUMIKIA kwa miaka 24 kwa moyo wako...
Na Maggid Mjengwa,
One tall tree does not make a jungle- Nelson Mandela.
Hakika, na mimi naamini, kuwa Chama cha kisiasa chenye nguvu kinatokana na kazi ya timu iliyoandaliwa vema. Na si...
Chama imara cha kisiasa ni lazima kwanza kiwe na muundo thabiti, mtandao mzuri wa kisiasa unaoanzia ngazi moja hadi nyingine pamoja na kuwa na mfumo unaosadifu wa kisera na kiitikadi na...
Jamani, huwa mnamnukuu sana Hayati Julius Kambarage Nyerere, mbona hamumnukuu pale aliposema Ikulu si mahali pa majaribio?
Nafadhaika kuona rafiki, ndugu zangu na jamaa zangu.....tena wengine...
Kwa kiasi kikubwa tumekengeuka kimtazamo na kutekwa na masham-sham ya kampeni. Tunatumia msuli mwingi kujadili vitu na watu badala ya masuala (issues). Sehemu kubwa ya mijadala yetu ya leo ni ile...
Well, wale wanobeza nguvu ya Chadema, kwa kutumia misemo ile ya zamani kuwa wapinzani hawakubaliki Vijijini hizi harakati za Zitto Kabwe zinawasuta.
Zitto na Demokrasia
Wanaopenda kusema...
Ndugu zangu,
Wahehe wana msemo; Isenga imbofu na isenga indenyeefu.
Kwamba ng'ombe kipofu ni sawa tu na ng'ombe aliyevunjika mguu, wote watakufa njaa. Ng'ombe kipofu hawezi kuyaona...
Jamani, nashauri tuanze kupiga kampeni kwa njia zote.
Siku ni chache, kila mtu pale alipo awajibike.
Message kutoka Finland ziliwafikia watu wengi. Tusipuuze madhara yake, nashauri tufanya...
Kuna habari zimenifikia hivi punde kuwa wakati wa kikao cha kamati kuu ya CCM, taarifa za siri za Usalama wa taifa zilisema kuwa JK hata afanye nini hawezi kushinfa kwa sababu tafiti zote...
Martin Luther King Jr aliyasema haya...bahati mbaya hakuwahi kuiona ndoto yake akiwa hai...naamini aliiona huko aliko.
Nami nathubutu kusema ninayo njozi...
Ya kuiona Tanzania mpya amabayo...
Mikoa ya kusini ilikuwa ni karata yake ya mwisho ya Mh Slaa katika kujigamba kuwa REDET NA SYNOVATE walipiga mahesabu vibaya. Lakini Rais mtarajiwa baada ya 31.10, JK ALIPOINGIA Songea hata...
Tuhuma zinazodaiwa kumkabili mgombea ubunge wa CCM, Sumbawanga mjini, Bw. Aeshi Khalfan Hilaly zinadaiwa kutua mezani kwa Katibu mkuu Yusufu Makamba,zikiwemo picha za mtu anayedaiwa kutekwa na...
Tetesi nilizopata ni kwamba Manji ndiye yuko behind mgombea udiwani wa Kata ya Kivukoni, Didas masaburi katika azma nzima ya kuukwaa umeya wa Jiji, iwapo atafanikiwa kushinda udiwani.
Habari...