Njowepo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 9,710
- 2,251
In one of his speech Nyerere once said Road contract in ASIA awarded to someone the road will be built but in Afrika it wont be built
MY TAKE
Maneno mazito hayo tena in Afrika ata kama itajengwa ni below stardard.
Kuna kipande cha barabara ukiwa watokea Mafinga kama waenda Makambako unafika Nyororo mbele kidogo ya Nyororo kama after 1 km kuna kipande cha barabara kimekarabatiwa ata mwaka hakijamaliza icho kipande kimeanza kumongonyoka just imagine ni highway iyo!Ingekuwa feeder roads ningeelewa but a highway mnaweka rami substandard ambayo does not last even a year.
Ukifuatilia kuna mtu kala 10% apo ya kufa mtu,TANROAD mnatupeleka wapi?