Watanzania wapenda mabadiliko, Tufanye kazi ya Ziada ili kuwakabili CCM na mbinu zao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania wapenda mabadiliko, Tufanye kazi ya Ziada ili kuwakabili CCM na mbinu zao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPadmire, Oct 13, 2010.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Jamani, nashauri tuanze kupiga kampeni kwa njia zote.
  Siku ni chache, kila mtu pale alipo awajibike.

  Message kutoka Finland ziliwafikia watu wengi. Tusipuuze madhara yake, nashauri tufanya kuzuia madhara au kujenga imani kwa Watanzania zaidi.

  " Chagua Chadema, Chagua Dk Slaa kwa Amani,Maendeleo, na Mshikamano. Bei za bidhaa muhimu kama sukari, mafuta ya kupikia, vifaa vya ujenzi vitapungua bei. Pia Elimu ni Bure, Afya Bure na barabara za vijijini zitaimarishwa. Inawezekana kwa sababu Madini yetu hayataibwa na mafisadi, Mapato ya utalii,viwanja vya ndege na bandari yatatumiwa vyema,serikali ya chadema itaepuka matumizi ya anasa kama mashangigi ya Mawaziri, na wakuu wa mikoa/wilaya. Chagua Slaa, chagua Chadema"

  Huyo ni ujumbe mzuri kabisa hauna matata.
   
 2. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Well said..Kama kungekuwa na uwezekano wa kununua muda wa matanganzo ya tv au redio japo kwa dk 1 kwa siku ingesaidia.Kwani ni matangazo kama mengine tu ya biashara?
   
 3. R

  Rugemeleza Verified User

  #3
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 26, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tuma ujumbe kwa njia ya simu na sambaza si lazima matangazo ya TV. Watumie rafiki zako nao wawatumie rafiki zao wengi na hiyo ndio kampeni ya nguvu.
   
 4. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Observe campaign time please usiclash na watu wa tume
   
Loading...