Elections 2010 Tuhuma za mgombea ubunge Rukwa zatua kwa Makamba

2mbaku

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
316
67
Tuhuma zinazodaiwa kumkabili mgombea ubunge wa CCM, Sumbawanga mjini, Bw. Aeshi Khalfan Hilaly zinadaiwa kutua mezani kwa Katibu mkuu Yusufu Makamba,zikiwemo picha za mtu anayedaiwa kutekwa na mgombea huyo na kisha kuingiliwa kimwili na kundi la watu kinyume na maumbile pamoja na kumpa mimba mwanafunzi na kumkatisha masomo. (Dira oktoba 11-17):director:
 
Yaani zimepelekwa kwa Makamba? Mbona hata yeye alibaka na kumpa mimba Mwanafunzi?

Usikaone hivyo na ufupi, kalidhibiti mtu hata hakutoka kama Mjusi kwenye kona ya Mlango....
 
Aisee yaani mtu katenda kosa la jinai alafu mnampelekea makamba ili iweje ,mbona nyie watu mnatuchanganya sana alafu kesi ya ngedele
mnampelekea nyani manake huyu makamba tulisikia kuwa alikuwa mwalimu akafukuzwa kwa kosa la ubakaji na kumpa mimba mwanafunzi
sasa leo mnategemea ataamua nini tena jamani? watu wa chama tunaomba mtuambie hili jambo mtalishughulikia vipi wakati jinai tupu?
 
Huu sasa ugonjwa, unashambuliwa na kunyanyaswa halafu unakwenda kwa Mathread? ili iweje, kwani hao jamaa hawaajui taratibu?
 
naona huku jf kuna mahakimu, majaji, polisi, waendesha mashtaka, wazee wa baraza na nk.......
 
Kesi zinazohusu wagombea wa ccm polisi hawaruhusiwi kuzishughulikia, huwa zinashughulikiwa kwenye vikao halali vya chama regardless of the type of offence!

Hapo umesomeka mkuu ndio maana mlizima mjadala wa Richmond bungeni ili mkaushughulikie kichama
 
Aaaaaa...... Huyu Aeshi ni standard seven ana pambana na headmaster wake mwl.Yamsebo alye mtimua skul b'coz of nidham mbovu.
 
Makamba tangu arushiwe kombola toka kwa Slaa amekuwa kimya. Anajifanya kama hakusikia hilo au kusoma kwenye magazeti. Unaponyamaza kimya that means unakubali kosa. Makamba come before Tanzanians including SISIEMU members uwaambie what happened huko CHIGOMA........ahaha...aaahaha kutoa chupi ya dada yetu kwa nguvu. Akina January na Mwanvita sijui wanajisikiaje.
 
Back
Top Bottom