Kumwenzi baba wa taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumwenzi baba wa taifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mikole, Oct 14, 2010.

 1. m

  mikole Member

  #1
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Miaka 11 toka tukupoteze kipenzi chetu Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.Mpenda HAKI,Mpinga UONEVU na UNYONYAJI.Leo hii Tanzania na Watanzania ULIWAPENDA na KUWATUMIKIA kwa miaka 24 kwa moyo wako wote.
  TUNAVYOKUENZI si kila akuitae NYERERE....NYERERE...Ndiyo wanaokuenzi KIVITENDO bali wengi wetu ni WADINI,WACHOCHEZI,na wanaapa KUMWAGA DAMU ili waingie IKULU.Ili kumwenzi NYERERE kivitendo.CHAGUA KIKWETE,CHAGUA CCM.ILI KUJENGA TANZANIA YENYE NEEMA JANA,LEO NA KESHO.

  JAMES TENGIA
   
Loading...