Shuhudia nguvu ya Chadema

Shuhudia nguvu ya Chadema

mozze

Senior Member
Joined
Aug 27, 2010
Posts
185
Reaction score
28
Well, wale wanobeza nguvu ya Chadema, kwa kutumia misemo ile ya zamani kuwa wapinzani hawakubaliki Vijijini hizi harakati za Zitto Kabwe zinawasuta.

Zitto na Demokrasia

Wanaopenda kusema wapinzani hawakubaliki vijijini wanataka kuhalalisha wizi wa kura, mana wanajua ni rahisi kuiba kura za vijijini.
 
CCM waanze kufungasha virago kwa utulivu na amani. Dhuluma yao kwa jamii yetu Mwenyezi Mungu ameisikia
 
synovate na REDET bila aibu wanaibu na 12% Vs 71%. Unajua ingekuwa rahisi kukubali kama ingekuwa 28% Vs 51%. Lakini kwa vile tuna taarifa za kuaminika kuwa kila liwezekanalo litafanyika shujaa Slaa (PhD) apate <20% basi hakuna jipya kutoka kwenu. After all CCM wanazo pesa nyingi ya kuonga tumeyasikia ya Mengi, Reginald!
 
Back
Top Bottom