Do not declear failure until you fail - jk | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Do not declear failure until you fail - jk

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by QUALITY, Oct 13, 2010.

 1. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuna habari zimenifikia hivi punde kuwa wakati wa kikao cha kamati kuu ya CCM, taarifa za siri za Usalama wa taifa zilisema kuwa JK hata afanye nini hawezi kushinfa kwa sababu tafiti zote zimemtupa na wale waliokuwa wanatumiwa kuiba kura sasa wamegawanyika. Hivyo uwezekano wa kushinda ulikuwa hakuna! Zaidi wenzake walimshauri to withdraw kabla ya uchaguzi

  JK alikasirika sana katika kikao hich akasema "DON'T DECLEAR FAILURE UNTIL YOU FAIL". Mpaka mkurugenzi wa Tume atoe matangazo kuwa nimeshindwa ndipo "naweza" kukubali ingawaje hata hapo itakuwa ngumu! Akaongoze, mbona hao wasiotajwa kama NCCR wanaendelea na kampeni, je mimi?

  Sasa nilipopata habari hii, nikasema niilete hapa JF kuona kama
  1. kuna mwenye taarifa zaidi
  2. Kwanini anaendelea na kampeni wakati ameshauriwa aache maana anzidi kuongeza gharama kwenye chama na serikali wakati nyota ya ushindi kwake imeishafifia?
  Karibu jamvini
   
 2. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,849
  Likes Received: 474
  Trophy Points: 180
  Kumbuka JK ni askari tena afisa mkubwa wa jeshi kwa cheo chake angeongoza kikosi. Hakuna kusalimu amri jeshini hadi risasi ya mwisho.
  Labda nikukumbushe

  Siku anarudisha form ya urais alisema;
  " ccm ni kama jeshi liko vitani, ili kujua nguvu ya adui tutaanza kutuma platoon kwenda kupigana, tukizidiwa tutatuma section, tukizidiwa tutatuma kombania, tukizidiwa tutatuma kikosi, tukizidiwa tutatuma brigade,akaongeza hapo sasa itakuwa mashambulizi bila kusimama hadi adui atokomee na kutundika bendera ya ushindi"

  Narudi kwenye mada kuwa hatuna uhakika kwamba;
  • platoon , section, kombania na brigade ni kitu gani kwa ccm nini
  Yawezekana bado ana nguvu.Acha tumsikilize japo inaonekana kashindwa tayari
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  unaleta taarifa, halafu unaomba mwenye taarifa zaidi

  Haya ndiyo yanatakiwa ku-delete
   
 4. Ally Msangi

  Ally Msangi Verified User

  #4
  Oct 13, 2010
  Joined: Jun 29, 2010
  Messages: 581
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  huyu jamaa amejiandaa ku chukua nchi kwa ubavu hata akishindwa
   
 5. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  :jaw:Hapo hamna tatizo, hii ni tetesi. Baadhi yenu inawezekana mlikuwa katika kikao hich, mnaweza kutoa picha live. Usijali, hatugombani, kama huna taarifa, unauchuna!
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  nimekuelewa na tuko pamoja.. ila ujue hizi message ndio zinafanya akina kinana waamini sie tunakurupuka na wao wako sahihi
   
 7. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,071
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  he is a failure japo hataki kukubali
   
 8. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280
  bye-bye jk lakini karibu sana dr. Slaa na chademaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 9. GodfreyTajiri

  GodfreyTajiri JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 846
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 60
  kama hizi taarifa zina ukweli wowote
  nadhani huo ushauri haukuwa makini.
  hao washauri wangekuwa wa maana kama wangetoa
  ushauri wa kuhakikisha uchaguzi wa haki unafanyika
  na awe tayari kukubali matokeo ili hata kama akishindwa
  akumbukwe kwa kukubali kushindwa. lakini hili la kujitoa
  saa hii mmmh!
   
 10. u

  urasa JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tunakaribia kufika safari yetu na dererva wetu slaa
   
 11. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Tusibweteke na hizi taarifa.
  mie nimeshahamasisha sehemu kubwa ya mtaa wetu kupiga kura kinyume na ccm.
  Huku mtaani hata makada wa ccm wanaona noma kumnadi jamaa yaani wamevubaa kama wamemwagiwa maji ya barafu.
  Majuzi nilimsaka mwenyekiti wangu wa serikali ya mtaa ambaye ni ccm nikamuuliza mbona hamupigii kampeni chama bingwa? akajibu kwa ufupi "aah hicho hujipigia kura chenyewe hakihitaji watu" bado natafakari huu ujumbe wake ila ni dalili kwamba hawawezi kusimama na kutetea chaguo lao.
   
 12. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #12
  Oct 13, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kanyaga twende...
   
 13. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #13
  Oct 13, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Kwa picha hi sijui

  [​IMG]
   
 14. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #14
  Oct 14, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Declear au declare?
   
 15. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Huyu itabidi asindikizwe kutoka Ikulu kwa mtutu. Kama kweli amesema hata kama akishindwa itakuwa ngumu kukubali, itabidi atafutiwe waungwana wamsindikize taratibu.
   
 16. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #16
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Sina haja ya jina la aliyekuambia lakini nigefurahi ukituambia uliwezaje kupata habari za kikao hicho cha siri hasa kulingana na signecha yako.
   
 17. U

  Ujengelele JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2010
  Joined: Jan 14, 2008
  Messages: 1,256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  The end is just around the corner
   
Loading...