Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tangu aanze kampeni, sijamsikia JK kuzungumzia kwa kina, bila ya kigugumizi, uovu wa ufisadi na jinsi atakavyopigana na kansa hiyo iliyoenea katika serikali yake na jamii pia. Jee haoni kama...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
SIICHUKII CCM Ni kweli kuna mengi mazuri yamefanywa na CCM niichukieje? SIMCHUKII RAIS WETU MPENDWA KIKWETE - Yeye naye ni mtu mzuri tu na amefanya mengi mazuri. NINAYOYACHUKIA. 1. NINAUCHUKIA...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
VIONGOZI WA DINI, WASOMI , WANAHARAKATI NA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YATALAUMIWA SANA. Katika jamii panapokuwepo na jambo linaloashiria kuleta madhara makubwa, ni jambo la kawaida kutafuta...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Julius Kambarage Nyerere 1922 to 1999 Roman Catholic Church Tanzania Julius Kambarage Burito Nyerere was born in 1922 at Butiama village, Musoma, Tanzania. He was a Zanaki by tribe. His...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nyufa hizo ni nne za kitaifa zilizoongeza migawanyiko mikubwa ni:- a) Umasikini na tofauti za kimapato zimepamba moto na kunenepesha matabaka ya kiuchumi ndani ya jamii yetu. b) Udini umeshamiri...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Siku ya leo nimeitumia kutazama maadhimisho ya Siku ya Nyerere jinsi yalivyoendelea huko Kigoma. Halaiki ya vijana haikusisimua mpaka Rais Kikwete alipofika, naye kama kawaida hakufika mapema...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Miaka 11 tangu Baba wa Taifa, Mwalimu Julias Nyerere alipofariki dunia, ni muhimu taifa kukumbuka juhudi zake za kumkomboa Mtanzania kutoka katika ujinga, maradhi na umaskini ambavyo hata hivyo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
Ninaomba kuwasilisha ombi langu kwa Mzee Mwanakijiji na wengine wenye uwezo kama wake wa kujenga hoja ili wasaidie kutengeneza vipeperushi vitakavyosambazwa nchi nzima hasa maeneo ya vijijini ili...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika kufuatilia kwangu habari za uchaguzi mkuu ujao, habari ya wagombea wenza inayopewa kipa umbele na vyombo vya habari ni ya mgombea mwenza wa CCM, lakini wagombea wa vyama vya CHADEMA, CUF...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mheshimiwa Slaa amezikubali kwa shingo upande takwimu za uchumi za mtandao wa Aneki.com, ambazo zinaiweka Tanzania katika nafasi ya 30 kati ya nchi 52 za Afrika kwa ulinganisho wa income per...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Amani na utulivu tunaojivunia unasemekana ni tunda la HAKI na USAWA. Kama haki na usawa ikiondolewa basi AMANI HUONDOKA. TANZANIA ILIDUMISHA AMANI NA UTULIVU kwa kuwa 1. HAKI ILIDUMISHWA 2...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WASWAHILI WANASEMA MAJUTO NI MJUKUU. Laiti viongozi wa Rwanda walipokuwa wanahimiza visasi kupitia radio wangeweza kujua ukubwa wa madhara yake. Laiti wanadamu wangepewa kuona kesho itakavyokuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi si mwanasheria japo nasaka uhitimu wa kiwango cha kati (katika Sheria) kwa njia ya masafa.Kwahiyo nina uelewa wa wastani kuhusu masuala ya jumla-jumla kuhusiana na taaluma ya Sheria.Na ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
:A S new::peace:My fellow home of great thinkers tujadili, CCM wanajidai kabla ya kuchaguliwa wanasema watawatumikia ( SERVANTS ) citizens oohhhhhh soon after election they turn MASTERS...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukifuatilia suala la sms za ccm huwezi kumweka pembeni waziri aliyekuwa na dhamana ya TCRA. Nani waziri aliyehusika na TCRA kabla ya kampeni za uchaguzi? Kwa vyovyote vile analo la kuhusu ushiriki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TCRA+VODACOM+MAKAMPUNI YA SIMU YANAVYOKATA MICHANGO KWA AJILI YA CCM Napenda kuchukua fursa hii kuutarifu umma wa watanzania unyonyaji unaofanywa na makampuni haya ya simu bila hata watanzania...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Sumaye agoma kumchafua Slaa Na Ezekiel Kamwaga Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye ameingia katika kampeni za mgombea urais wa chama chake kwa sharti la kutomchafua Dr Willbrod Slaa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Ni mtazamo tu msijenge chuki Kuna uwezekano mkubwa ccm ikashinda uchaguzi mkuu bara kwa kutegemea sana kura za nzazibar.Ccm ambayo ina wanachama karibu nusu ya wapiga kura wa zanzibar ambao...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nipo hapa uwanjani (umoja), namba t437 apa, t945anz, t751anz(machinga trans)...na baadhi ya maroli yanasomba watu vibaya mno.....na sasa hivi hapo nje kuna mapikipiki na mabajaji mengi mno...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom