GE2010 Ccm wamechakachua bendera ya taifa

GE2010 Ccm wamechakachua bendera ya taifa

Status
Not open for further replies.

kiraia

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2007
Posts
1,717
Reaction score
1,012
Ukiangalia jukwaa liloandaliwa kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya Mwalimu JK Nyerere pale kigoma utaona mbele wametumia rangi ya Kijani na njano na nyuma ya Jukwaa wametumia zilisosalia hii Jamani si kuwahadaa wanachi?
 

Attachments

  • DSC00924.JPG
    DSC00924.JPG
    21.9 KB · Views: 63
Wao waendelee kuhangaika na rangi, nguo, kashfa, vitisho na yote yanayowafurahisha, wengine sie tunasubiri hukumu ya haki Oct 31 wanaita Crack of Doom!
 
Mimi nalia na gharama za huu mwenge tu hapa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom