I have a dream!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I have a dream!!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Safari_ni_Safari, Oct 13, 2010.

 1. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,482
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Martin Luther King Jr aliyasema haya...bahati mbaya hakuwahi kuiona ndoto yake akiwa hai...naamini aliiona huko aliko.

  Nami nathubutu kusema ninayo njozi...
  1. Ya kuiona Tanzania mpya amabayo WAtanzania wote wanafaidika na mkate wa nchi
  2. Ya kuona viongozi au watawala wetu hawawi na nguvu nyingi za kimaamuzi mpaka wanajisahau
  3. Ya kuona mtanzania wa kawaida hanunuliki kabisa kwa gharama yoyote ile ili agawe haki yake ya kikatiba
  4. Ya kuiona Tanzania inabaki Jamhuri na sio usultani wa watu kurithishana madaraka
  5. Ya kuona kila mhalifu anashitakiwa na kuhukumiwa kwa uhaklifu wake bila kuogopa utajiri wake,umaarufu wake,ukaribu wake na watawala
  6. Ya kuona kiongozi wangu anatenda yale anayo yaahidi na kukubali pale anaposhindwa kwa kuwajibika kuachia madaraka bila kulazimishwa

  Tafadhali jumuika nami katika njozi hii.....lete ya kwako
   
 2. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  To see The most perfect political community which the middle class is in control, and outnumbers both of the other classes." thats my dream
   
 3. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Miminiliota Kikwete amefariki lakini Mod akaondoa thread yangu haraka haraka! ilikuwa ndoto ya kiukweli lakini sijui kwanini ilitupwa jalalani!
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,482
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Pole mpwa.....one day yes!!!
   
 5. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,073
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  hata mimi ninayo ndoto hiyo
   
 6. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hiyo hiyo
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,482
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Ya Luther King Jr hii hapa...

  "In a sense we've come to our nation's capital to cash a check. When the architects of our republic wrote the magnificent words of the Constitution and the Declaration of Independence, they were signing a promissory note to which every American was to fall heir. This note was a promise that all men - yes, black men as well as white men - would be guaranteed the unalienable rights of life, liberty and the pursuit of happiness. It is obvious today that America has defaulted on this promissory note, insofar as her citizens of color are concerned. Instead of honoring this sacred obligation, America has given the Negro people a bad check, a check which has come back marked 'insufficient funds.'"
  "It would be fatal for the nation to overlook the urgency of the moment. This sweltering summer of the Negro's legitimate discontent will not pass until there is an invigorating autumn of freedom and equality. Nineteen sixty-three is not an end, but a beginning. Those who hope that the Negro needed to blow off steam and will now be content will have a rude awakening if the nation returns to business as usual."
  "The marvelous new militancy which has engulfed the Negro community must not lead us to a distrust of all white people. For many of our white brothers as evidenced by their presence here today have come to realize that their destiny is tied up with our destiny and they have come to realize that their freedom is inextricably bound to our freedom. We cannot walk alone."
  "I have a dream that one day this nation will rise up and live out the true meaning of its creed: 'We hold these truths to be self-evident, that all men are created equal.'"
  "I have a dream that my four little children will one day live in a nation where they will not be judged by the color of their skin, but by the content of their character."
  "I have a dream that one day on the red hills of Georgia the sons of former slaves and the sons of former slave owners will be able to sit down together at a table of brotherhood."
  "This is our hope. This is the faith that I go back to the South with. With this faith we will be able to hew out of the mountain of despair a stone of hope. With this faith we will be able to transform the jangling discords of our nation into a beautiful symphony of brotherhood. With this faith we will be able to work together, to pray together, to struggle together, to go to jail together, to stand up for freedom together, knowing that we will be free one day."
  "Now is the time to lift our nation from the quicksand of racial injustice to the solid rock of brotherhood. Now is the time to make justice a reality for all of God's children."
  "Let freedom ring. And when this happens, and when we allow freedom ring-when we let it ring from every village and every hamlet, from every state and every city, we will be able to speed up that day when all of God's children-black men and white men, Jews and Gentiles, Protestants and Catholics-will be able to join hands and sing in the words of the old Negro spiritual: "Free at last! Free at last! Thank God Almighty, we are free at last!"
   
 8. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #8
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  mimi sio ndoto, ni maono ya kweli kabisa, tena yanatokea hivi karibuni. hayana kusubiri miaka kadhaa, ni miezi michache tu.
   
 9. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #9
  Oct 13, 2010
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  Teh teh teh!
   
 10. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #10
  Oct 13, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Huyu ni kitimoto au namna gani?
  [​IMG]

  Anyway, JK maji ya shingo hayo! Nilitaka nianzishe thread kama hii, lakini nimewahiwa!
   
 11. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,482
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Wachina wamemkata kilo kidogo za mboga
   
 12. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #12
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280

  teh teh....!!! wamenipunguza miguu kwa ajili ya birthday ya mkuu wa nchi anayeondoka madarakani.
   
 13. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #13
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280


  mboga yenyewe ilitumika kwenye birthday ya mkulu. ila baada ya ushindi wa CHADEMA DR.SLAA ataimalizia.
   
 14. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mimi ndoto yangu si ndefu sana.
  Ningependa kuona Tanzania inaendelea na kufaidika na maliasili zake.
  Ningependa kuona watoto wa Kitanzania wana afya na elimu nzuri ya kuonea fahari Afrika na duniani kote.
  Ningependa kuona viongozi wenye vision ya jinsi Tanzania inavyopaswa kuwa katika karne ijayo na kufanya kazi ya kuweka msingi wa kuelekea vision hiyo. Ningependa kuona Watanzania wanaachana na matumizi ya kuni kwa upishi kwa sababu tuna gesi ya kutosha kwa matumizi ya kila Mtanzania nchini. Ningependa kuona sehemu za mashambani Tanzania zinafanana na sehemu za mashambani Uswiss ambako hakuna mtu anakurupuka kukimbilia mijini kwa sababu ndiko pekee kwenye maisha mazuri. Ningependa kuona shida ya maji inakwisha Tanzania kwa sababu tuna vyanzo vya kutosha vya maji. Ningependa kuona umeme unasambaa kwa asilimia 90% ya Watanzania. Nimesema ndoto si ndefu lakini naona I am being carried away. Tanzania bora inawezekana!
   
 15. U

  Ujengelele JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2010
  Joined: Jan 14, 2008
  Messages: 1,256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanzania bora/njema inawezekana kabisa kama mafisadi hawataendelea kuwepo madarakani. nadhani watanzania wengi sana ndoto yao inafanana sana na ya kwako. Tuombe kuanza kuishuhudia ndoto hii hapo October 31, 2010
   
Loading...