Rais wa ukweli, kipenzi cha watu wenye akili timamu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais wa ukweli, kipenzi cha watu wenye akili timamu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ZLATAN, Oct 13, 2010.

 1. ZLATAN

  ZLATAN Senior Member

  #1
  Oct 13, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  :A S 465:Jamani, huwa mnamnukuu sana hayati julius kambarage nyerere, mbona

  hamumnukuu pale aliposema Ikulu si mahali pa majaribio?,nafadhaika kuona
  :rain:

  ndugu zangu na jamaa zangu.....tena wengine mnaonekana mna hekima, mbona la


  :A S 465:SLAA kwenda kufanya majaribio Ikulu hamlioni?:hat:.


  Mtazameni rais wa ukweli.:A S 465:  Being Simple Doesn't Cost A Thing!!!
   
 2. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2010
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  wewe ni sehemu ya wajinga pole!!!!!!! na huyo mkwere
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Bange hizi


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2010
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Angalia style ya mkwere na ccm yao

  Kikwete ndani ya mtwara (update).....
  Nipo hapa uwanjani (umoja), namba t437 apa, t945anz, t751anz(machinga trans)...na baadhi ya maroli yanasomba watu vibaya mno.....na sasa hivi hapo nje kuna mapikipiki na mabajaji mengi mno yanajaza mafuta kwenye hii sheli(kwa chingwile) yanaenda kumchukua jk(still watu uwanapigwa na jua tu jamaa bado hajaja-na sasa ni saa 7.15 mchana)...nishapiga picha ninazo...nitazi-update very soon. Stay tuned!! ​
   
 5. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ghaaaaaaaaaaaa kumbe unajua JK hapati watu mpaka awasombe kwa malori na kutoa kanga, kofia na tshirt kwa watu ndio waje mkutanoni? Wakina Slaa hupata watu bila kuwasomba na malori au kutoa kanga na vinginevyo. Huyo sio rais wa ukweli ila ni masanii wa ukweli, Nakusikitikia ndugu yangu kuwa bado uanona JK ni chaguo lako, umeula wa chuya rafiki.
   
 6. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2010
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Total misuse of the term " News Alert"
   
 7. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Tatizo la kupoteza kumbukumbu, kama umeshau Zlatan nakukumbusha, ni JK aliyesema kuwa apewe kipindi kingine cha miaka 5, maana miaka mitano iliyoisha alikuwa anajifunza kuongoza! sasa ni lini Slaa aliomba kwenda kujifunza ikulu?
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 9. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Ni kweli Naona jamaa amesahau ni vizuri kukumbushana kuwa jk ndo amefanya pa majaribio! upuuzi mtu anakuambia tumetimiza 60%, 40% zimeenda wapi??na miaka mingine mitano anajua anatakiwa kufika 140% au hajui kuwa anayabeba mwakani?? na hizi ahadi mpya huyu anajitwika mzigo mzito saana! bado anajaribu tuu???
   
 10. R

  RUSHAMAWE Member

  #10
  Oct 13, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sitaki kuamini kama wewe ni mmoja wa wale watu wanaoamini " wingi wa mvi, ndo wingi wa busara". Yaani unashindwa hata kutofautisha tamasha la kisiasa na kampeni za kisiasa, hebu jaribu kuangalia hizo picha za kampeni za JK, halafu angalia na picha za kampeni za Dr.slaa halafu utofautishe.

  Kampeni za Jk zimeambatana na wasanii wa Bongo flava, kofia, tshirt nk....! Unapoona wingi wa watu na hasa mikoani, ujue hawaendi kwenye kampeni za kisiasa, ila wanakwenda kwenye tamasha la kisiasa ambapo watasikiliza na kucheza muziki, huku wakipatiwa Tshirt na kofia. Unapaswa ujiulize kwa makini, NI KWELI WANANCHI WANAFATA SERA, AU TAMASHA LA KISIASA!
   
 11. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mh!Kumbe hapa Tanzania bado kuna wajinga kiasi hiki!pole sana kilaza!
   
 12. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #12
  Oct 13, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  ZLATAN
  [​IMG] Member [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] Join DateTue Oct 2010Posts22Thanks0Thanked 1 Time in 1 Post

   
 13. M

  Malembeka Shija Member

  #13
  Oct 13, 2010
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bora hata huyo(mkwere) jk anatoa ma t.shirt na kofia kwa umati wa watu..ina maana chama chake kina hela yani ccm.na hata kama hicho chama (ccm)ni cha mafisadi basi naona sasa wameisha shiba kwaiyo waendelee kuiendesha nchi ili tuanze kuona matunda yake.

  na sasa mnataka hicho chama kiachie wapewe watu kama(mchaga) SLAA ambaye hata jukwaani wanapewa msaada ya kibanda cha kusimamia,ambaye chama hakina hata uwezo wa kukodi speaker waiendeshe nchi wakati wao wenyewe wanaomba uchaguzi ufike lini ili wapate hela za misaada na wao ndio wanapatia kula hapohapo.na watu kama hawa wakipewa nchi basi mpaka chama chake kije kifikie kama ccm ujue ni miaka 50 ijayo ya ufisadi itaendelea

  kwa iyo tuangalie sana:dance::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
   
 14. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #14
  Oct 13, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaa! Sijawahi kuona aina hii ya kufikiri in my entire life! Pathetic!
   
 15. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Ungekuwepo wakati Nyerere anapigania uhuru wa Tanganyika, naamini ungemshauri Nyerere asijisumbue kupanda baiskeli na kuomba kuchangiwa nauli na wazee waasisi wa TANU ili kwenda kuwahamasisha watu kupigania uhuru wa nchi, bali awaache wazungu waendelee kutawala kwa kuwa tayari wana pesa za kutosha.

  Malembeka, siyo lazima sana kwamab kila hoja uchangie, kama huna cha maana cha kuandika unaweza kunyamaza tu na kutafuta thread nyingine ambayo ni size yako.
   
 16. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,896
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Ndugu mtoa mada naomba ungeangalia kwanza hali za hao anaowaongoza na mazingira wanayoishi ndio uje hapa kutundika hizo pumba zako.Watu gani wenye akili timamu wanaweza kuchagua mtu kama huyu aliyeshindwa kubadili hali ya maisha yao japo kwa 25%.Wanaomchagua huyu si wenye akili timamu bali ni wanaofaidika na ufisadi na wale wasiojua thamani ya utu wao.
   
 17. M

  MgonjwaUkimwi JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 1,288
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  Tusubiri tu hiyo October 31, hizi mada za utabiri zitaisha. October 31 ni kati ya Mgonjwa Kifafa na Rais wa kwenye keyboards
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Wtf! Where is my mashine g?
   
 19. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  kwa dizaini hizi za watu tanzania kazi bado ipo!
   
 20. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #20
  Oct 14, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kwani wanaochagua si ni wananchi,usubiri tu hapo siku ikifika.Halafu msichakachue,ndo hapo mtaona kama ikulu ni sehemu ya kujificha wabaka uchumi au la..........
   
Loading...