Umati wa Songea ni tishio kwa Slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umati wa Songea ni tishio kwa Slaa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Zawadi Ngoda, Oct 13, 2010.

 1. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Mikoa ya kusini ilikuwa ni karata yake ya mwisho ya Mh Slaa katika kujigamba kuwa REDET NA SYNOVATE walipiga mahesabu vibaya. Lakini Rais mtarajiwa baada ya 31.10, JK ALIPOINGIA Songea hata wagonjwa waliolazwa hospitali walijikongoja kwenda kumuona na kumsikiliza.

  Sasa Mh Slaa anajiandaa kuzikubali tafiti zote zijazo za wataalamu hao, huku washabiki wake baada ya kuzungumzia yale waliyoyashuhudia Songea baada yake wanavilaumu vyombo vya habari eti kwa yale wanayoyaita 'ya Mbinga'.

  Ni ni kwa sababu kama hiyo iliyomfanya Mh Slaa aghairishe safari yake ya kampeni huko Mtwara na Lindi siku za nyuma. Mpaka sasa wananchi wachache ambao ni wapenzi wa CHADEMA wa Mtwara NA Lindi hawajaelezwa na wala hawaelewi kwanini kwaangusha.

  Wanachadema ni wazuri sana wa kuweka YOU TUBE hapa uwanjani, basi tuwekeeni na yale ya jk kule SONGEA.
   
 2. thetowerofbabel

  thetowerofbabel Senior Member

  #2
  Oct 13, 2010
  Joined: Jul 17, 2010
  Messages: 112
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  hey zawadi ngoda are u arising from the death....???????....tayari in any way upo kwenye kundi la watu walio logwa na mafisadi....sorry if i have irritated u....
   
 3. p

  politiki JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  unashangalia wingi wa watu badala ya kushangilia message(vision) ya mtu. unamshangilia mtu ambaye ameifanya nchi yetu kuwa
  karibu na ya mwisho ndani ya bara la Afrika kwa ubora wa Elimu na upande wa uchumi kuwa katika kundi la nchi kumi maskini
  duniani. nyie wana ccm mnakuwa kama vile mmerogwa baada ya kushangilia maendeleo ya nchi mnamshangilia mtu. mmoja wa
  waimbaji wa miziki ya kizazi kipya aliulizwa unamfanyia kampeni JK je ni kitu gani alichokifanya kikakufuraisha, jibu lake mpaka
  mwandishi alishindwa kuamini kwa maana alisema " mimi ninamzimia tu JK" hIlo ndio lilikuwa jawabu lake ambalo linafanana
  na ZAWADI NGODA kumshangilia mtu badala ya maendeleo ya nchi yaliyoletwa ndani ya miaka mitano ambayo ni km hakuna
  ukiwauliza watanzania wengi wa kawaida. are you better off than you were five years?? i can guarantee you jawabu lake ni NO.
   
 4. M

  MgonjwaUkimwi JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 1,288
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  Na ukiwauliza wakenya swali hilo hilo jibu litakuaje? Wakongo Waganda? Waethiopia? wazambia? wamalawi? Kama majibu yao yatafanana basi tatizo laweza kuwa sio utawala.
   
 5. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watu wanasahau vipi mikutano ya JK inajaa watu, wamesahau yale malori, mabasi ya matajiri wakwepaji wakubwa wa ushuru, watu pamoja na kuzeekea kwenye nyumba za ajabu zenye kila aina ya vishawishi vya kuugua magonjwa sugu lakini pia wamenyimwa elimu, hawana uwezo wa kuona mengine mazuri zaidi ya hayo.

  Ngoja tuone waliopata kidogo elimu watasaidiaje nchi yetu kuendelea, maana wao ndo wamepewa fursa ya kuwaongoza.
   
 6. M

  Mutu JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  watu wanafuata wasanii tisheti na usafiri wa bure ,hata mimi kama napikipiki inawekwa mafuta naenda kuangalia muziki na wasanii.
  hivi ww kweli unaona kuwa watu wameenda kusikiliza Mkwere anasera gani?

  Malori yamefanya kazi nzuri ,wananchi wanaenda sikilizana kura wanajua wakumpa tehe tehe tehe
   
 7. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #7
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  walikwaenda kumuona mgonjwa mwenzao ambae kwa wkt huo angetakiwa awe nao kitandani. walienda kumshangaa kuwa inakuwaje mgonjwa achomoe drip azunguke nchi kumwaga pumba?
   
 8. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  pity thy who are mind unconscious!
   
 9. u

  urasa JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Una habari mmoja wa wale waliotoa ufadhiri ccm amelipuliwa na mengi kwa upup wake?amekisaidia chama kwa kupitia hela zake chafu,mungu amemuumbua,huyo huyo anajifanya mfadhiri mkuu wa hiyo club ya hapo jangwani,tulisema na tunaendelea kusema.ccm ni genge la wahuni
   
 10. Mubezi

  Mubezi Member

  #10
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Papa alipokuja tanzania mwaka 1990,watu kibao walikwenda kumuona,waislam,wasabato,wasio na dini, na walokole.Lakini yeye ni mkristo tena mkatoliki,pia watu walijaa haijawai tokea na haitatokea,je wale wote waliofika hapo WALIMSADIKI?,na je WALIINGIA KATIKA UKATOLIKI?,kwahiyo usishangae wingi wa watu kwa mikutano ya kikwete,mana wapo wanaokuja kuona WASANII(hawajawai kuwaona live),pia wapo wanaokuja kumshangaa rais FISADI,pia wapo wanaokuja kuona rais ANAYEDONDOKA na wapo wanaokuja kumuaga kama rais wao,wapo wanaosombwa na magari n.k.Cha msingi jiulize KULIKUWA NA UTULIVU WA KUMSIKILIZA?,au ni sawa na mwalim mwenye kufundisha wanafunzi 100 wa darasa la saba,wakafaulu 3?,na mwingine akafundisha 50 wakafaulu 49,kisha wewe mwenye 100 ukajisifu kuwa SHULE YAKO WAMEMALIZA WANAFUNZI WENGI.Kazi kwako.Yangu maoni.
   
 11. G

  Gurtiboy New Member

  #11
  Oct 13, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NGODA ni jina la kisambaa.Inaonesha ni jinsi gani ilivyo fupi ka wasambaa walivyo.You have extremly low judging capacity.Pole sana.Hata kwenye post yako umeandika Mh.SLAA kukubali kuwa anaheshimika.Is ur brain in the armpit.Dr.SLAA HOYEEEEEE...........
   
 12. c

  cerezo Senior Member

  #12
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 155
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Shallow thinking.....usiangalia nchi za wengine angalia nchi yako....na mimi nikisema tuwaulize wabotswana,watunisia,wamauritius? hizo si nchi za kiafrika? mbona wana maendeleo? that is why we will not develop when you have people like you who support mediocre and are satisfied with mediocrity....pole sana
   
 13. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #13
  Oct 13, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145

  Kwani wewe siunalipwa kwa kazi ya kuwafanyia kampeni ccm, inakuwaje tena uwatake chadema wakusaidie??
  Kumbe kelele za bure, hata ku-upload kwenye yutubu hamjui lakini bado tu mnapuliza mavuvuzela!!
   
 14. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #14
  Oct 13, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Umati sio hoja..tunataka maendeleo..!
   
 15. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #15
  Oct 13, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kwa kifupi tu kwa sasa wakazi waliokuwepo songea pamoja na wale waliokodiwa kwa magari mengi na kupewa hela nyingi sana

  Bado wamepigwa na bumbuwazi, hawajui nini kimesababisha matatizo yao ya sasa.
  angalia wanavosema kuhusu bei ya sukari
  Kutoka 600- 3000 eti ni kwasababu inatoka malawi.
  Si kweli Tanzania sukari kabla ya JK ilikuwa Tsh 400-700 kote nchini na vitu vingine vingi.

  tatizo la umati mwingi ni kwa wale wadanganyika na waliohongwa kitu kidogo.
  Bado Dr. slaa hajatishwa wala hana cha kutishiwa ila CCM ndo wanatishwa kwa matendo yao ya udanganyifu.
  Wanahofu kuwa akiwaelimisha waelewe tu basi wamekwisha kabisa!
   
 16. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #16
  Oct 13, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  i affirm...
   
 17. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #17
  Oct 13, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  WA-TZ sis bana ni balaa, tumelogwa!!!
   
 18. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #18
  Oct 13, 2010
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,666
  Likes Received: 21,892
  Trophy Points: 280
  Hivi ndivyo wawazavyo washabiki wa CCM
   
 19. Mantissa

  Mantissa JF-Expert Member

  #19
  Oct 13, 2010
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Ukubwa wa pua si wingi wa kamasi, endelea na umaskini wako wa kufikiri.
   
 20. d

  dotto JF-Expert Member

  #20
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  .... hatuna uhakika na upstars ya wanawake wa Songea. Lakini Songea kuna wanaharakati wanapenda mageuzi ya kisiasa. Umati wa kusombwa na malori pande zote za ruvuma. Songea Mjini haiwezi kujaza uwanja ule. Hiyo ndo janja ya CCM kuwaaminisha watu kuwa wako wengi. Ni matumizi mabaya ya fedha kusomba watu kwa malori wakati wao wagombea wanatakiwa waende huko wananchi waliko. Sio ujanja huo.
   
Loading...