GE2010 Manji yuko behind Masaburi kuusaka umeya wa Jiji

GE2010 Manji yuko behind Masaburi kuusaka umeya wa Jiji

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2008
Posts
5,404
Reaction score
242
Tetesi nilizopata ni kwamba Manji ndiye yuko behind mgombea udiwani wa Kata ya Kivukoni, Didas masaburi katika azma nzima ya kuukwaa umeya wa Jiji, iwapo atafanikiwa kushinda udiwani.

Habari zinasema Manji kasambaza pesa kwa ajili ya kampeni kwa wagombea udiwani wote wa Jiji chini ya tiketi ya CCM kwa kiwango cha Sh milioni nne kila mmoja ili Masaburi akishinda, basi wamchague kuwa Meya wa Jiji.

Lengo la Manji ni kuzikwaa contract za Jiji chini ya Meya Masaburi -- contract hizo ni pamoja na daraja la Kigamboni, fly-overs na nyinginezo zitakazogharimu mabilioni ya Watz.
 
dili lake la kumtegea madawa mtoto wa mengi ndio kaburi lake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom