Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kila serikali yao ikifanya jambo fulani, watu wanatafsiri na kuelewa kuwa ni upupu au siyo upupu. hata wakiongea kitu cha maana lazima kitiliwe mashaka kwanza. mimi binafsi, tangu 2005...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Gazeti la Mwananchi limetuhabarisha leo ya kuwa Mheshimiwa Spika Mstaafu Mzee Sitta akiaahidi ya kuwa ataendeleza moto ule ule aliokuwa nao katika kutetea haki za wanyonge............... Vile...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Wakuu, Jamani imekaaje hiyo ya kutuonyesha kikao cha kwanza cha baraza la mawaziri, si mbwembwe tu hizo kama ilivyokuwa mwaka 2005 wakati wa Ngurdoto??
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Popote pale ulipo. Lowasa unatisha! Masai unatisha. Nasikia unashusha kitu cha Bilioni 70 Bongo. Nasikia umenunua jumba kwa Malkia wa Uingereza. Nasikia unataka kuwa Rais 2015. Hii kali...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
katika hali inayoonyensha ni kujutia dhambi zake za kutesa wananchi na viongozi wenye mahabuba na inji yao, magufuli karejeshewa rungu. akiwaidiwa na mwakyembe! magufuli kalini amekuwa akiteswa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimesoma kwenye article ndani ya mwananchi NP Mawaziri wapya wamekabidhiwa Toyara GX v8 gharama yake ni kati ya sh M 210-240, jamani, nimejaribu kucalculate hapa kwa wizara zilizotajwa ni balaa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanajamii forum na watanzania wote kiujumla nimejaribu kuipitia haraka ilani ya chama cha mapindunzi ccm na miongoni mwa vitu nilivyokuwa na interest navyo ni pamoja na mambo yanayoihusu wizara ya...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Ilianza "hata tusiposhinda, tutajishindisha" Ikafuta" Ushindi ni Lazima" Ikaja " Tutashinda kwa gharama yoyote" Hapa tunajifunza nini
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Kuzuiwa kwa mikutano ya chadema majimboni kwasababu za kiusalama inamaana polisi wangezidiwa nguvu na waarifu au hawakutaka kulinda mikutano ya chadema.kama kuna ukweli rais atangaze hali ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Huko Haiti, chama cha tawala cha nchi hiyo ambacho kina shabihiana sana na CCM kwa muonekano na vitendo kimeshutumiwa kwa wizi wa kura. Tofauti na Tanzania, wapinzani karibu wote wameungana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna taarifa kwamba Kaimu Mhariri wa Mtanzania D. Balile amekamatwa na polisi na yuko kituo cha Oysterbay, yeyote mwenye taarifa kamili atupe , ana tatizo gani na kama ni kweli ama si kweli.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mheshimiwa magufuli kwa kweli umeonesha ni namna gani unaweza kuponya vidonda vya watanzania. Ninapokumbuka ule mchaka-mchaka wa magari ya umma watu walikuwa wameyaweka uwani na kuandika majina...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Huko bungeni Makinda naona atalia, maana hii timu ya CHADEMA na coach wake Dr Slaa inatisha, look these, all are strikers, defenders, Dr Slaa atakuwa kama Sir Alex Ferguson, anpoint where to...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari nilizopata hivi punde toka jimbo la Uchaguzi la Ngara Mkoani Kagera, ni kuwa lina wagombea wawili Moja ni Ndugu Ruhuza wa NCCR na Mzee Ntukamazina. Wakati Ruhuza anapiga kampeni kwa bid...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Jana asubuhi bbc walikuwa wakimuhoji AM na walimuuliza kuwa anaandaliwa kugombea urais akasema kama nikifanya mambo ya kueleweka miaka hii mitano basi naweza...... Je CCM wanajiandaa kuweka...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Ndugu wanJF, Jana katika kipindi cha tuongee asubuhi cha startv, kulikuwa na mjadala kuhusu baraza la mawaziri lililoundwa na Rais JK hivi karibuni. Kulikuwa na wachangiaji watatu studio ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu wana jamvi wa JF,toka uchaguzi wa vyama vingi mwaka 1995 chama cha CUF(ccm-b) kimekuwa kikishinda viti vya ubunge huko Pemba. Tumejionea maendeleo yaliyoletwa na wabunge wa CDM huko Karatu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa kawaida jambo la muhimu sio tu kufanya jambo la muhimu. Ni muhimu kufanya jambo la muhimu wakati muhimu na unaofaa. HAPO NDIPO JAMBO LA MUHIMU LITAPEWA UMUHIMU. Viongozi wengi wanalijua hili...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wajameni, habarini za leo tena? Ninakumbuka kuwa jana Kata 23 ambazo hazikufanya uchaguzi wa madiwani wake tarehe 31/10 zilipaswa kuwachagua wawakilishi hao jana. Je, kuna mwenye updates za...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…