Balile amekamatwa na polisi?

Tina

JF-Expert Member
Jul 9, 2007
572
581
Kuna taarifa kwamba Kaimu Mhariri wa Mtanzania D. Balile amekamatwa na polisi na yuko kituo cha Oysterbay, yeyote mwenye taarifa kamili atupe , ana tatizo gani na kama ni kweli ama si kweli.
 
Kuna walio na taarifa watupatie clues za hii kitu???
au RA alishamchoka?
 
kule sio kanisani ukienda ujue kuna kosa ama unashukiwa...ndio maanda auingii na quran qala biblia..mpe pole zake

Mhariri wa gazeti la RA hawezi kusota. kwanza atakuwa ametulia kwenye kochi pale osterbay na glass ya soda pembeni.
 
kule sio kanisani ukienda ujue kuna kosa ama unashukiwa...ndio maanda auingii na quran qala biblia..mpe pole zake

sasa kanisani sijui quran au biblia vinatokea wapi, mdau umeonja nini ndo ukapost??
 
Polisi wanasema hajakamatwa ila alikuwa na tatizo la traffic alikwaruzana na mtu wakafikishana Oysterbay na sasa ameshaondoka sala u salmini
 
kuna taarifa kwamba kaimu mhariri wa mtanzania d. Balile amekamatwa na polisi na yuko kituo cha oysterbay, yeyote mwenye taarifa kamili atupe , ana tatizo gani na kama ni kweli ama si kweli.
atkuwa kesha muuzi ra shauli yake
 
Polisi wanasema hajakamatwa ila alikuwa na tatizo la traffic alikwaruzana na mtu wakafikishana Oysterbay na sasa ameshaondoka sala u salmini

Nimezungumza na Balile, amesema sawa na Halisi, kuwa aligongana na huyo bwana muda mrefu, naye aliamua kutengeneza gari lake kwenyewe kwa kuwa alikuwa anasafiri kwenda Kinshasa siku iliyofuata. Alipoondoka yule mwenzake alibaki pale pale na kuita trafiki na kupima ajali. Hivyo gari lake lilikuwa linatafutwa kwa kusababisha ajali na kutimka. Badala ya kwenda mahakamani, walikubaliana akalipa sh 100,000 za matengenezo na kuachiwa huru.
 
Tanzania D. ni tofauti na Mtanzania linalomilikiwa na Fisadi Rostam Azziz wa CCM. Hili ni gazeti la Tanzania Diama linalomilikiwa na Freeman Mbowe CHADEMA.
 
Back
Top Bottom