Je CUF wameleta maendeleo yapi kwenye majimbo yao huko Pemba???

nickname

JF-Expert Member
Dec 20, 2009
544
147
Ndugu wana jamvi wa JF,toka uchaguzi wa vyama vingi mwaka 1995 chama cha CUF(ccm-b) kimekuwa kikishinda viti vya ubunge huko Pemba.

Tumejionea maendeleo yaliyoletwa na wabunge wa CDM huko Karatu na Kigoma Kaskazini.

Kila siku najiuliza je wabunge wa CUF ni maendeleo gani wameyapeleka katika majimbo yao huko Pemba?.Naomba mnijuze
 
mbona hii haichangiwi au imekua ngumu?

au wenyewe akina mwiba na wenzake wamepata udhuru maana wanasema wanataka serikali yao kule

peupeni wanasema wanataka serikali tatu ila kwengineko wanataka nne ya nne iwe ya pemba sasa kabla hawajapata hio serikali na waseme wamefanya nn kwa miaka ishirini sasa tokea kutawala pemba

na mwaka huu ndio wamekomesha maana si wabunge si wawakilishi si madiwani, ila cha maendeleo sikioni jee kwa nn ?
 
Back
Top Bottom