Makinda namuonea huruma, mechi hii atakuwa anazuia magoli tu, timu ya CHADEMA. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makinda namuonea huruma, mechi hii atakuwa anazuia magoli tu, timu ya CHADEMA.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jay One, Nov 29, 2010.

 1. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,080
  Likes Received: 4,663
  Trophy Points: 280
  Huko bungeni Makinda naona atalia, maana hii timu ya CHADEMA na coach wake
  Dr Slaa inatisha, look these, all are strikers, defenders, Dr Slaa atakuwa kama
  Sir Alex Ferguson, anpoint where to strike harder, Mabere Marando coach msaidizi,
  na mm niko bench na wana JF wote
  as reserves na kuhesabu magoli, hatushangilii maana ushindi tunao, hii list ni mwisho

  1. Mbowe
  2. Zitto
  3. Tundu Lissu ( Chief whip)
  4. John Mnyika
  5. Halima Mdee
  6. Wenje
  7. Ndesa ( Mzee wa Chopa)
  8. Regina Mtema
  9. Kafulila ( huyu ni NCCR tumweke maana ni mpinzani wa kweli)
  10.Mustafa Akoonay ( huyu ni moto utamwona ni Mwiraq, hacheki, ni mwanasheria
  muulizeni Marmo)
  11.Jose Selasini, Muulize Mramba atakueleza, mm na ww tutapoteza utamu
  halafu Shibuda, kazi yake ni yeyote atakaye leta fujo, kiswahili, wanobisha magoli
  tunamkabidhi, & Lema, pia karibu na bench la coach, wakina Kubenea, J. Ulimwengu
  Tanzania Daima & Mwananchi watatoa glucose, First aid na advice fasta kwa wachezaji, na wana JF hapa watasaidia, hakuna mtu kukimbia uwanja, hadi kieleweke, hata magoli 100 funga tu, period
  Hawa CUF i disregarded, omitted, deleted, ignored, not opposition, whatever name
  u will give them, kwanza mbunge wa Znz unakuta anawakilisha watu kama wa kijiji
  kidogo cha Bara, like nyumba kumi kumi, so i don't care, & are not strong in Laws, etc etc & don't ask me about CUF
  tuwaache, sisi tuangalie mechi.
  Mama Makinda nadhani atakuwa anazuia magoli tu, mengi sana yatafungwa, maana
  wabunge wa CCM ambao mechi ndio timu Pinzani ni nani, who, & when,& how
  wataweza kujibu najua hamna, nani? semeni, maana shoot moja tu, weka mpira kati gooooooooooal....!!!!!, hawa First eleven, ni sawa na wabunge 1000 wa CCM, tena si wale wa kulala,
  Namuonea huruma Makinda
   
 2. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,374
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  heko...............kwani makinda kawekwa na mafisadi na mwanzoni kabisa hajaamini km kuna ufisadi
   
 3. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,080
  Likes Received: 4,663
  Trophy Points: 280
  Makinda anatuona kama sisi hatuji, maneno yake ni tofauti we know this, maana mafisadi ndio wamemweka, atajua why kanga ( Guinea fowl) hana manyoya shingoni, aliponea kukatwa shingo.
   
 4. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hivi kweli una akili sawa sawa wewe ?, watu wenye mtaji wa wabunge zaidi ya 240 ulinganishe na watu wenye wabunge 47?, ha ha haaaaaaaa
   
 5. J

  JazzBand Member

  #5
  Nov 29, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 77
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  Ndivyo unavyodhania eee think twice
   
 6. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Je, unamuona chief whip?????????????????? Makinda akimuwaza faraja yake ni kwa nduagi kufarijiana kwamba AC ataokoa jahazi!!Mr 6 ambaye angekuwa msaada tayari amebanwa kinywa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 7. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2010
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,643
  Likes Received: 1,434
  Trophy Points: 280

  Nyie ndo wale wale!!!! hatuongelei uwingi hapa.. tunaangalia watu wanaoweza kujenga hoja na uwezo wa huyo spika kuhimili hoja za hao makamanda
   
 8. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #8
  Nov 29, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,080
  Likes Received: 4,663
  Trophy Points: 280
  Najiulizaga sana, kwann CCM hata supportes kama ww, u r too low, old mind, unawaza idadi, sisi tunaongelea mental powers, hao 240 ni sawa na LIssu, quote me on that.
   
 9. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #9
  Nov 29, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180

  hujui kwamba mbunge mmoja wa upinzani ni sawa na wabunge 400 wa ccm? we kweli bogas sijapata ona
   
Loading...