Kituku
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 238
- 22
Nimesoma kwenye article ndani ya mwananchi NP Mawaziri wapya wamekabidhiwa Toyara GX v8 gharama yake ni kati ya sh M 210-240, jamani, nimejaribu kucalculate hapa kwa wizara zilizotajwa ni balaa.. Hivi Pinda si ndiye waziri aliyependekeza na kutoa wazo la kupunguza aina hizi za gari? kwanini viongozi wetu hawatafakari hili angalau tukaiga wenzetu wa Kenya.......kweli???? maendeleo vijijini yatakuja kweli bilioni zote zinatumika barabarani na wakuu +Mafuta ya gari?? ?
Wadau hili likoje hapa???
Wadau hili likoje hapa???