Watake wasitake MIMI ndiye RAIS

Mtu wa Mungu

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Messages
445
Likes
1
Points
35

Mtu wa Mungu

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2010
445 1 35
Hapa tunajifunza matokeo ya kiburi cha uzima!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Ameanguka mara ngapi na kuinuliwa na Mungu mara nagapi??????????????? Mwache tu, ni kama vile Mungu hayupo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Farao (Firauli) naye alithubutu kuhoji huyo Mungu wenu mnayetaka nimtii ni nani??????? Lakini wakati ulipofika wa kuzikwa na maji ya Bahari ya Shamu, maneno kama haya ya dhihaka kwa Mungu haya ndiyo yaliyomponza!!!!!!!!!! Pole JK!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Mtu wa Mungu

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Messages
445
Likes
1
Points
35

Mtu wa Mungu

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2010
445 1 35
Jambo moja tunamfahamisha JK na sisiemu yake, hasa wabunge wa sisiemu, kuwa tabia ya kutaka kubadilika kwa jamii ni kama kijana wa kike au wa kiume kukua toka utotoni hadi utu uzima!!!! Kila hatua ina malezi tofauti ili ku-fit katika jamii!!!! Wakati muda wa hatua moja kwenda nyingine ikifika,kuzuia ni kutafuta matatizo, au kumharibu kijana!!!!!!!!!!!!!!
Ndivyo ilivyo kwa Taifa letu. Baada ya miaka 50 ya sisemu, jamii sasa inataka change!!!!!!!!!! Nchi zote zinazotuzunguka niambie ni nchi gani chama kilicholeta uhuru, kama si sisiemu peke yake, bado kinatawala???????????? By this history JK na wabunge wake na jamii yote ya wanachama wake ,(ambao zaidi ya 90% sasa ni wazee-vijana wako kwenye vyama vya upinzani, hasa CDM) kwamba kuzuia mabadiliko yaliyoanza ni kutaka kuingiza taifa hili katika vita ya wenyewe kwa wenyewe!!!!!!!!!!!!.
Hivi jana pale bungeni wabunge wa sisiemu walikuwa wanajipongeza kwa wao na rais wao kupora kuiba kura wakati wabunge wa CDM wanatoka nje kwa kukataa kusikiliza hotuba ya rais mwizi!!!!!!!!!! Yaani kwa sisiemu wizi ni sifa ya kujionea fahari???????????? Shame on you sisiemu na rais wenu mwizi!!!!!!!!!!!Vinginevyo, ulinzi wote ule ulikuwa wa nini katika mjengo kama kweli ni rais mpenzi wa watu wake??????????? Kwa majivuno na majigambo haya, rais mwizi JK ataishia kughubikwa na laana ambayo matokeo yake yatakuwa kilio na kusaga meno si muda mrefu kutoka sasa!!!!!!!!!!!!!!!!! Hakumbuki kwamba kila alipoanguka, aliyemwinua ni Mungu huyu ambaye anamwambia maneno aliyokuwa akiwaambia Watanzania!!!!!!!!!!!!!!!! Mwache aendelee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Mpasuajipu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2010
Messages
838
Likes
6
Points
0

Mpasuajipu

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2010
838 6 0
HIYO NI PANIC :
Panic is a sudden fear which dominates or replaces thinking and often affects groups of people or animals. Panics typically occur in disaster situations, or violent situations (such as robbery, home invasion, a shooting rampage, etc.) which may endanger the overall health of the affected group

KITENDO CHA cdm KUMWACHIA UKUMBI mzee mzima ilikuwa ni typical situation ya kuonyesha msimamo wa CDM kuwa hawamtambui yeye km rais ingawa wanamtambua JK km binadamu wa kawaida.

This typical situation imesababishwa na NEC kusababisha violent situation ya kuchakachua kura na kusababisha vijana wasilale usingizi kwa kulinda kura zao zisiibiwe.

kwa hiyo, mzee kwa PANIC iliyomkumba, ikabidi atamke vile km kujiaminisha lakini hata hivyo it was too late maana msg ilikuwa delivered ktk inbox yake hata aki delete bado itabakia ktk database.
 

Forum statistics

Threads 1,203,563
Members 456,824
Posts 28,118,926