Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wajameni nimechelewa kuona news. Dr. Anasema sheria ni nzuri kutunga na tuzifuate. Kipengele kipi jk anapingwa? Tujuzeni mliokuwepo kwani alikuwa na press conference
0 Reactions
250 Replies
23K Views
Ndugu wana jamii, mimi nimekua nikufuatilia kwa karibu sana siasa za Tanzania. Nilichogundua ni kua vyama vingi sio vya upinzani ila wananchi wengi wameshindwa kugundua hilo nab ado wanawapigia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na Maggid Mjengwa, KUNA wakati, katika mwaka huu, vyombo vya habari vya dunia vilimwonyesha Rais Hamid Karzai wa Afghanstan akitoa machozi hadharani. Ni pale alipotamka kwa uchungu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Uzinduzi wa chuo kikuu cha dodoma umefanyika leo katika ukumbi wa chimwaga chuoni hapo. Katika hali isiyo ya kawaida ulinzi uliimarishwa hasa katika ukumbi huo wa chimwaga. Usalama wa taifa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Aithee kwa kweli nina kila thababu ya kukushukuru muheshimiwa jeikey kwa kauwasiri ulikonipatia. Thatha hivi washenzi watakoma kitaani maana walishanyakua mademu wangu kitha hivyo viminithitiri posti
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani uchaguzi umeisha lakini ni tukio ambalo limeacha mijadala mingi vinywani mwa watanzania wote! Kuna kuchakachua! Kuchakachuliwa na mengineo mengi tu bado hayajaisha tutaendelea kujadiliana...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Kila nikukumbuka ahadi ya Mkwere ya kuigeuza Kigoma kuwa Dubai huwa nacheka peke yangu. Na sasa kudhihirisha kuwa Mkwere si mtu wa kumuamini hata chembe, ameteua Baraza la Mawaziri bila kuwa na...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
WanaJF, I thought these little facts ingenuously articulated ashumour will enlighten some of us who can not get hold of Daily news paper. The genie wakes up! By ADAM LUSEKELO AFTER more than 40...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Mjadala wa Kipindi cha Tuongee asubuhi utaangazia muundo na taswira ya serikali mpya kwa maendeleo na ustawi wa Taifa. WaJF tumeni maoni, mitazamo na ushauri wenu katika mada hiyo na tutayasoma...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
..kama CUF wameungana na CCM kwenye baraza la wawakilishi ni bora pia wakaungana ktk bunge la muungano. ..hatua hiyo itaondoa mvurugano ambao unaweza kutokea ikiwa CUF watakuwa ktk kambi ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ili uchumi wetu ukue, lazima serikali i-create export kwa ku pump billions kwa few individuals. Individual hawa ili waweze ku-compete globally. Hii technique ndo inatumiwa sana na serikali ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jennister mhagama alifanya vizuri katika nafasi ya uenyekiti ndani ya bunge lililopita na aliendesha vikao vya bunge kwa mafanikio kuliko hata job ndugai na pengine kuliko hata anne makinda...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wabunge wa Zanzibar katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni wengi mno ukilinganisha na idadi ya watu katika kisiwa hicho. 1,000,000/50=20,000 40,000,000/189=211,640...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Columnist So, it is the presidency! By JIANG ALIPO, 22nd November 2010 @...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
New Habari wahitilafiana uteuzi wa Zakia Meghji Mwandishi Wetu Novemba 24, 2010 KIWEWE cha uteuzi wa Baraza la Mawaziri kimesambaa kutoka miongoni mwa wateule watarajiwa hadi katika makundi...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
For Want of a Nail For want of a nail the shoe was lost. For want of a shoe the horse was lost. For want of a horse the rider was lost. For want of a rider the battle was lost. For want of...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
For Want of a Nail For want of a nail the shoe was lost. For want of a shoe the horse was lost. For want of a horse the rider was lost. For want of a rider the battle was lost. For want of...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu zanguni wanaJF especialo ma - great thinkers. Kuna swala moja linanisumbua sana naomba ufafanuzi nadhani pengine kuna kitu kina miss ndani ya chadema. Nimekuwa kwa mfano nimekuwa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom