magufuli na mwakkyembe - CCM inajirekebisha?


kweleakwelea

kweleakwelea

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Messages
2,501
Likes
483
Points
180
kweleakwelea

kweleakwelea

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2010
2,501 483 180
katika hali inayoonyensha ni kujutia dhambi zake za kutesa wananchi na viongozi wenye mahabuba na inji yao, magufuli karejeshewa rungu. akiwaidiwa na mwakyembe! magufuli kalini amekuwa akiteswa kwa kutpewa wizara ambazo ni mtihani ili avunjiwe sifa zake kitu alichowaprove wrong! sasa basi wakati akipewa katrata hii yas kujaribu kurejesha matumaini kwa wanaCCM ambao wana mpango wa kukihama chama baada ya kugundua misingi imebadilika pia anakabiliwa na mtihani mkuwa wa kutekeleza sehemu kubwa ya AHADI ZA MHESHIMIWA wakati wa kampeni! wanaJF mnaionaje hiyo?:painkiller:
 

Forum statistics

Threads 1,205,690
Members 458,032
Posts 28,202,956