Polisi na chadema

kibenya

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
383
225
Kuzuiwa kwa mikutano ya chadema majimboni kwasababu za kiusalama inamaana polisi wangezidiwa nguvu na waarifu au hawakutaka kulinda mikutano ya chadema.kama kuna ukweli rais atangaze hali ya hatari mwanza,mbeya,musoma,dar(segerea),rukwa,iringa,babati na mpanda
 

seniorita

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
674
0
CCM ndio inayoshika dola.
Hivyo basi waliozua mikutano ya CHADEMA ni CCM .
polisi wao ni kama jibwa, linatuymwa tu

Haswa, na kwa kawaida mbwa lazima alinde master wake....yeye hawezi kufanya kazi kwa ridhaa yake ila ya bwana wake....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom