Kutuonyesha Kikao cha Kwanza cha Baraza la Mawaziri ni Mbwembwe au.....?????

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
Wakuu,
Jamani imekaaje hiyo ya kutuonyesha kikao cha kwanza cha baraza la mawaziri, si mbwembwe tu hizo kama ilivyokuwa mwaka 2005 wakati wa Ngurdoto??
 
Back
Top Bottom