chobu
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 309
- 26
Mheshimiwa magufuli kwa kweli umeonesha ni namna gani unaweza kuponya vidonda vya watanzania. Ninapokumbuka ule mchaka-mchaka wa magari ya umma watu walikuwa wameyaweka uwani na kuandika majina yao!!! Sina wasiwasi na wewe mwanangu; nakujua wewe huogopi! Hutishwi! Wewe unachojua ni kuchapa kazi kwa kufuata taratibu na sheria za nchi. Big up!!!!!!!!!!!!!!!!hakika wewe ni nyota na utaweza kurudisha imani ya watanzania kwa chama chao cha ccm.