Wanajamii forum na watanzania wote kiujumla nimejaribu kuipitia haraka ilani ya chama cha mapindunzi ccm na miongoni mwa vitu nilivyokuwa na interest navyo ni pamoja na mambo yanayoihusu wizara ya Ujenzi ikiongozwa na Dr.John Pombe Makufuri na Dr Mwakyembe. Kimsingi kama wakiweza kukamilisha kazi zote ambazo nimejaribu kuzisummarise hapo zawadi itakayowafaa ni mmojawapo kuwa raisi na mwenzake kuwa waziri mkuu 2015!
View attachment 2010-2015 Road Works.xlsx