Haiti watumia mbinu za CCM kuiba kura | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haiti watumia mbinu za CCM kuiba kura

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Informer, Nov 29, 2010.

 1. T

  The Informer Senior Member

  #1
  Nov 29, 2010
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huko Haiti, chama cha tawala cha nchi hiyo ambacho kina shabihiana sana na CCM kwa muonekano na vitendo kimeshutumiwa kwa wizi wa kura. Tofauti na Tanzania, wapinzani karibu wote wameungana kupinga uchaguzi huo.

  Picha inaonesha mwananchi mwenye hasira akibandua campaign posters za mgombea Urais wa Haiti kutoka chama tawala, Jude Celestin. Ukiangalia utaona rangi za chama cha tawala cha Haiti zinafanana na za CCM. Bila shaka wanatumia mbinu sawasawa za kuiba kura.

   

  Attached Files:

Loading...