Jimbo la Ngara: Mgombea wa CCM matibabuni; wapambe wamnadi kwa picha! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jimbo la Ngara: Mgombea wa CCM matibabuni; wapambe wamnadi kwa picha!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MAWANI, Sep 13, 2010.

 1. MAWANI

  MAWANI Member

  #1
  Sep 13, 2010
  Joined: May 12, 2009
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari nilizopata hivi punde toka jimbo la Uchaguzi la Ngara Mkoani Kagera, ni kuwa lina wagombea wawili Moja ni Ndugu Ruhuza wa NCCR na Mzee Ntukamazina. Wakati Ruhuza anapiga kampeni kwa bid bila kuwa na washabiki wengi, Mgombea wa CCM Ntukamazina yuko kwenye matibabu India baada ya kupata ajari jijini Dar.

  Habari zinasema kwamba viongozi wa CCM wa wilaya wanatembeza picha ya mgombea na kuendesha kampeni mpaka hapo atakaporudi.

  Habari hizi nimezipata kwa njia ya simu toka kwa rafiki yangu aliyeko jimbo hilo la uchaguzi. kama kuna aliye na habari zaidi au picha, atujuze zaidi.
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  SISIEMU yapoteza jimbo LIVE
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  CHADEMA hawakuweka mgombea huko?
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  What ana opportunity to capitalize!
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Umenitaimu....i was going to ask the very same question!
  Hapo ushindi ni lazima.
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kama hakuna mgombea wa CHADEMA basi upinzani umsaidie jamaa wa NCCR walau kupunguza nguvu ya CCM
   
 7. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kwanza kabisa namwombea Ndg. Ntukamazina arudie afya njema mapema.

  Pili, sijali kama ni CUF, Chadema au NCCR.... as long as kuna representation kubwa ya vyama vya upinzani ndani ya Bunge lijalo, hili litakuwa jambo jema katika ukuaji wa demokrasia wa Taifa letu. Ubabe na ubutu wa hoja ndani ya Bunge kwa wabunge wengi wa CCM kwa miaka nenda rudi umenichosha na naamini umechosha wengi!!
   
 8. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2010
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Hawana ubavu mitaa ya huko...
   
 9. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Kwanza huyu mgombea wa CCM ni Mtanzania halisi kweli? Si wangefanya kama Kakobe - angerekodi kanda na wao kuzipiga!!!
   
 10. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  :confused2:
   
 11. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  CCM si wmwambie tu mtaalamu wao Shekh Yahya ili amtibie fasta arudi jimboni!
   
 12. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Inawezekana huyo mgombea wa ccm hali yake haikuwa nzuri hata kabla. Kitendo cha kuchukua watu kisa eti maarufu ndo kina fanya wachemshe. Hilo jimbo Mungu kaamua kulipeleka kwa wapinzani bila jasho!
   
 13. Joel

  Joel JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2010
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 908
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 80
  Yaani hapo ndipo patamu kabisa kwa wanamageuzi kuchukua jimbo kiulaini
   
 14. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,504
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  Amtafutie jini la kumlinda!!
   
 15. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #15
  Sep 13, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,919
  Likes Received: 12,105
  Trophy Points: 280
  Wagombea wa Chadema Kagera na majimbo yao
  KAGERA
  1 Muleba Kaskzn Msedemu Milanga
  2 Karagwe Deusdedit Jovin
  3 Bukoba Mjini Wilfred Lwakatare
  4 Kyerwa Innocent kato6 Nkenge Walter Nyahoza.
  7 Bukoba vijijini Artides Ndibalema
  8 Biharamulo Magharibi Dr. Anthony G. Mbassa
  9 Biharamulo Mashariki Vedastus Lukumbuzya
  10 Ngara Robson Robert Mushika
   
 16. Mongoiwe

  Mongoiwe JF-Expert Member

  #16
  Sep 13, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 521
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Vipi nafasi ya mgombea huyu wa Chadema ama naye hakubaliki
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Sep 13, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nkenge yupo bwana - Walter Nyahoza.
   
 18. Lighondi

  Lighondi JF-Expert Member

  #18
  Sep 13, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 585
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Watanzania utawaweza!!?
  Mwaka 1990 tulichagua kati ya mgombea Mwinyi na kivuli na baada ya matokeo tukashangilia sana ushindi na kujisifu "eti" uchaguzi ulikuwa huru na wa haki na tunadumisha demokrasia. Ipo siku watoto na wajukuu zetu watang'oa misalaba na zile alama za nyota na miezi kwenye makaburi yetu. Kwa sababu wataanza kufikiri sana juu ya uwezo wetu wa kufikiri wa sasa na hawatapata jibu....... Wakijaribu kututofautisha na nyani au mnyama mwingine yeyote, hawataona tofauti.

  MUNGU ATUSAIDIE!!!!
   
 19. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #19
  Sep 13, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  .....kwasababu mitaa ya huko hata wakiwekewa jiwe wakiambiwa ndo ccm wanakubali tu!!!
   
 20. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #20
  Sep 13, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Chadema ni chama tawala tarajiwa sasa kimsaidie mgombea wa NCCR si kuongeza wapinzani vile vile?
   
Loading...