Kinachowatesa CCM ni hiki................

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,830
2,000
Kila serikali yao ikifanya jambo fulani, watu wanatafsiri na kuelewa kuwa ni upupu au siyo upupu.

hata wakiongea kitu cha maana lazima kitiliwe mashaka kwanza.

mimi binafsi, tangu 2005, sijawahi kutarajia lolote la maana kutoka kwa kauli za viongozi wa CCM na serikali yao. ndiyo maana sikupata shida kupiga kura kwa Slaa 2010.

hongereni sana Watanzania kwa kufunguka kiakili.

Pamoja tutafika.
 
Misterdennis

JF-Expert Member
Jun 4, 2007
1,748
1,500
Nyie , john na emma; ni wafaidi wa utawala wa wezi uliopo madarakani; hivyo basi hatushangai na majibu yenu yaliyojaa shibe ya wizi.
 
jyfranca

JF-Expert Member
Oct 3, 2010
297
0
Kila serikali yao ikifanya jambo fulani, watu wanatafsiri na kuelewa kuwa ni upupu au siyo upupu.

hata wakiongea kitu cha maana lazima kitiliwe mashaka kwanza.

mimi binafsi, tangu 2005, sijawahi kutarajia lolote la maana kutoka kwa kauli za viongozi wa CCM na serikali yao. ndiyo maana sikupata shida kupiga kura kwa Slaa 2010.

hongereni sana Watanzania kwa kufunguka kiakili.

Pamoja tutafika.
Ina maana Dr. Slaa kashinda?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom