Makao makuu ya CHADEMA yapo wapi?

Mla Mbivu

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
224
48
Wadau naomba mnifahamishe yalipo makao makuu ya Taifa ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
 
nenda katika tawi la chadema lililo karibu nawe. Kila kitu wewe ulizia hapo...

Ndio maana kuna Internet na Mawasiliano mengine, Mimi ni Mtanzania but nipo nje ya nchi. By the way Makao Makuu sio idara ya siri kwamba eti mtu hatakiwi kujua, kama yupo mdau anayefahamu anielekeze tafadhari, mimi kama Mtanzania I deserve to know the H.Q of the Leading Opposition Party.
 
Kinondoni Dar es Salaam.
Hawa Chadema wana behave kama wezi, yaani hawajiamini; hata kutaja makao makuu ya Chama inakuwa issue?!!!
 
Makao Makuu ya Chadema hapo mwakani baada ya kutembelewa......

wtc-2-plane.jpg

Msijali sana picha, sasa hivi nasubiri mechi ya Real Madrid na Barcelona FC....

Bado saa moja na dakika 20 tu mambo yanawaka...... WaKA WAKA....
 
TEMA MATE CHINI! Makao makuu CHAMA CHA MAJAMBAZI ya wilaya,Mikoa na yale ya Dodoma walijenga wazazi wetu enzi hizo! Yale ya CHADEMA ni ya muda yapo Kinondoni
 
Makao Makuu ya Chadema hapo mwakani baada ya kutembelewa......

wtc-2-plane.jpg

Msijali sana picha, sasa hivi nasubiri mechi ya Real Madrid na Barcelona FC....

Bado saa moja na dakika 20 tu mambo yanawaka...... WaKA WAKA....

umefuliwa, haters wa CDM mtajinyonga!
 
duh mkuu umenena!umenifurahisha sanaaaaaa
 
Kinondoni Dar es Salaam.
Hawa Chadema wana behave kama wezi, yaani hawajiamini; hata kutaja makao makuu ya Chama inakuwa issue?!!!

Sikulaumu kwa jibu lako lililooza. Najua unakabiliwa na tatizo dogo tu. Kachimbe dawa then endelea na usingizi. Ukiamka unaweza ukaachana na majibu yako yasiyo na mbele wala nyuma.
 
ni pale kinondoni,karibu na makaburi ya huku juu,acha yale mapya mapya wanayozikwa vigogo,kama unaingia ndani ndani,basi humo humo..
 
Makao Makuu ya Chadema hapo mwakani baada ya kutembelewa......

wtc-2-plane.jpg

Msijali sana picha, sasa hivi nasubiri mechi ya Real Madrid na Barcelona FC....

Bado saa moja na dakika 20 tu mambo yanawaka...... WaKA WAKA....

hahahahahahahahahaa...
Sikonge, wageni wengine wanaleta belated mchango wa kampeni.
 
Kijana,

wewe kweli mgeni humu ndani na hunifahamu. Kuanzia leo kumbuka jina la SIKONGE.

NGURUWE PITA, LEO SINA MKUKI.

Kwa sababu naona wewe ni Chadema, chama cha Dr wa kweli Slaa, sintakimbilia mkuki nyumbani.

umefuliwa, haters wa CDM mtajinyonga!
 
Ndio maana kuna Internet na Mawasiliano mengine, Mimi ni Mtanzania but nipo nje ya nchi. By the way Makao Makuu sio idara ya siri kwamba eti mtu hatakiwi kujua, kama yupo mdau anayefahamu anielekeze tafadhari, mimi kama Mtanzania I deserve to know the H.Q of the Leading Opposition Party.

Don't go for easy answers/way; look for it and you shall find; the time for spoon feeding is over
 
Back
Top Bottom