Tatizo ni utendaji wa Tanesco ama ni serikali yetu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo ni utendaji wa Tanesco ama ni serikali yetu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Micho, Nov 30, 2010.

 1. M

  Micho Senior Member

  #1
  Nov 30, 2010
  Joined: Apr 12, 2009
  Messages: 112
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Wakuu wa kazi naomba mnisaidie kwa hili..maana Umeme umeshakuwa tatizo sugu ambalo sijui mchawi ni nani.....Umeme umekuwa ni tatizo kwa miaka mingi hapa Tanzania..ni asilimia chache tu ya watanzania ndio wameunganishwa kwenye Grid ya Taifa...lakini kwa hao wachache umeme umekua bado ni tatizo....Hivi tatizo ni nini?
   
 2. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2010
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kaka, rudia nyuma. 2006. Ilizaa Richmond/Dowans. Nan alileta hizi kampun za kitapeli? Tanesco waliikataa Richmond.
  The problem we 've is we let politicians run organisations badala ya kuachia wataalam.
  Tanesco sawa sawa na mtoto. Mzaz akiwa z u z u, basi mtoto huaribika.
  Tatizo kubwa ni ukosefu wa uzalendo wa viongoz wa serikali. Hawana uchungu na nchi hii. Wanajua kwamba hata wakiboronga hamna wakuwawajibisha na tukisubutu, wataiba kura na kurudi madarakan
   
 3. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2010
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  ageing networks,poor city plans,poor supervision,overloaded substations,short transmission lines,political interferences,poor planning,shortage of financiers for implementation of power system master plan,lack of accountability...and the list goes on..
   
 4. c

  chidide Member

  #4
  Nov 30, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni Serikali, Management ya Tanesco, wafanyakazi wa Tanesco. Wafanyakazi wa Tanesco wengi wao (sio wote) ni wavivu wa kujifunza, wavivu, wezi(vishoka) na wanapenda kulalamika hata pale walipokosea. Tatizo la serikali ni kuingilia kazi za kitaalamu, tatizo la menejiment ni kuangalia ulaji zaidi.
  Dawa:
  Gawanya Tanesco into three companies: Generation, Transmission and Distribution. Generation atamuuzia Transmission na distribution atanunua umeme from transmission nae atawauzia watumiaje. Asiyeweza kulipa na asipate huduma, then tutajua nani ni mzembe.
  Vilevile tubinafsishe kwa mtindo kama wa CRDB wananchi, serikali,wafanyakazi na foreign investors wanunue shares. Huu ndio mtindo wa kisasa, tuache mambo ya kujisifu kuwa shirika la umma wakati hatupati huduma!!!!
   
 5. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #5
  Nov 30, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Tatizo la Umeme ni utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi 2010-2015 au Hamkuisoma Vizuri! Bongo bila Umeme inawezekana
   
 6. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #6
  Nov 30, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  tatizo ni waafrica wote, akili zetu zina walakini! Swala la umeme ni shida kote africa! Nigeria, Tz, S.Africa baada apartheid, Kenya, Uganda,etc. Tutafakari na tujioji kwa nini hivi???
   
 7. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #7
  Nov 30, 2010
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  unbundling TANESCO could either solve or complicate problems, remember, though generation is still there but there are independent power producers such as IPTL,Songas, Dowans...all these have to get capacity charge as no investor will agree to invest if not assured of market..however unbundling could only work by first separate costing of the three core activites, the other east african countries which have unbundled are currently getting back the vertical structure like TANESCO, so the soln will be to increase generation capacity an not rely on hydro, we have lots of coal, uranium,gas>>>....expand and rehabilitate our transmission we need bigger KV's 400 na kuendelea...
   
 8. M

  Micho Senior Member

  #8
  Nov 30, 2010
  Joined: Apr 12, 2009
  Messages: 112
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ha ha ha ha
   
 9. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #9
  Nov 30, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  Jana BBC wanasema umeme unaotumiwa afrika nzima ni sawa na kiwango kinachotumiwa na watu 45m wa hispania.HIVYO AFRICA NI BONGO LALA!
   
Loading...