Kuna watanzania grade a,b,c.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna watanzania grade a,b,c....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by YOTE UBATILI, Dec 1, 2010.

 1. Y

  YOTE UBATILI Member

  #1
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi majuzi nilimtembelea ndugu yangu mmoja pale Mikochen,katika maongezi nikamkumbushia mpango wake wa kununua kiwanja cha mzee fulani,Aaah,jamaa yangu huyu aliishia kuniambia namna BWANA MKUBWA RIDHWAN JK alivyoingilia na kununua kwa MAPESA ya kufa mtu na kisha kushusha kitu cha adabu...kwa mamia ya mimilion....
  Wapendwa wenye busara wana JF,Tanzania na vyote viiajazavyo ni mali ya Wananchi wote pasi kuweka mitazamo na itikadi za vyama,dini nk..JE IWEJE FAMILIA KADHA ZIONEKANE ZINASTAHILI kuliko nyingine?Hujuma na utapanyaji wa resources za wote vitakoma lini?Je kauli za kijana RIDHWAN kumiliki less than 10m while monopolising nyumba ya mamia mingi ya mamilion???????????
  wana JF mwasemaje/?????
   
Loading...