Shivji, Lwaetama, Honest Ngowi na wengine wapinga Baraza Kubwa la Mawaziri


D

DENYO

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2010
Messages
698
Likes
3
Points
35
D

DENYO

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2010
698 3 35
TANZANIA GREAT THINKERS DISLIKE KIKWETE'S CABNET AND COMMENT AS MISUSE OF RESOURCES.
1. Prof. Issa Shivji –through Hamza Kasongo hour on Monday expressed his stand on the current big size as big as unnecessary.

For him he don't see the developmental rationale to have 29 ministers and 21 deputy ministers for such a poor country like this. He went further by saying if President Jakaya could listern to Tanzanians only 20 ministers were enough as a maximum. He critically elaborated that Deputy Ministers is the misuse of resources as in most cases these are used for answering questions in the parliament the same task could be done by specific minister.

He also commented on the need to have CONSTITUSTIONAL REFORM before waiting for bloodshed because that need has been there before the formation on mult party systems. He said the today constitution was made by group of few people without Tanzanians inlvovement.- Source Hamza Kasongo hours on Monday Session-Chanel Ten.

Prof Issa Shivji emphasized that Tanzania need to embark on economic reforms which are sustainable with technical people not big number of ministers which is very expensive to manage.

2. Dr Azavel through Capital philosophically said there is no need of having political leaders in Tanzania amounting to 50 at this very poor country with comparison to USA which has over 200 million populations with only 15 ministers.

He the Dr.Azavel critically analyzed that –today's Tanzania need a maximum of 15 ministers without deputy ministers with the facts that already these ministries have technical people of whom actually should be able to run the ministries. He was referring to permanent secretaries and commissioners, directors and principles –very technical people.

These are the people the country like Tanzania need to invest in them to get desired changes. Dr. Azavel emphased on the fact that our political system is looking for rationalization of pointing ministers from all locations of Tanzania which can negatively will impact Tanzania economic growth.

The observations from the comments of our great thinkers and intellectuals clearly indicate that our President is either not getting advice of our great thinkers –intellectuals or he get advice from intellectuals who are not great thinkers they advice what President would love to here which in brief word is to KILL TANZANIA.
 
Njowepo

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
9,392
Likes
467
Points
180
Njowepo

Njowepo

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
9,392 467 180
Personally naongezea ata MADC nao wafutwe wabaki wakurugenzi ambao watareport kwa RC
 
STEIN

STEIN

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2010
Messages
1,765
Likes
4
Points
135
STEIN

STEIN

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2010
1,765 4 135
Miongoni mwa watu ambao watakumbukwa sana na waTZ ni haw maana hawana unafiki kama wengine penye ukweli watasema na uwongo watasema na actualy sisi vijana wapenada mabadiliko tunawafuatilia.
 
Makindi N

Makindi N

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2008
Messages
1,068
Likes
17
Points
135
Makindi N

Makindi N

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2008
1,068 17 135
............The observations from the comments of our great thinkers and intellectuals clearly indicate that our President is either not getting advice of our great thinkers –intellectuals or he get advice from intellectuals who are not great thinkers they advice what President would love to here which in brief word is to KILL TANZANIA.................

Tanzania don't use the available intellectuals or even using researches conducted by these dons. It's shelving from the ideas to the academic works.
 
M

Mgalatia

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2007
Messages
310
Likes
20
Points
35
M

Mgalatia

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2007
310 20 35
Unfortunately their outcry has definitely fallen on deaf ears. That's how things go as the elections are over. Very sad indeed. I will apologize if the size of the cabinet will be reduced!:drum:
 
K

kayumba

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
654
Likes
5
Points
35
K

kayumba

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
654 5 35


Hii ya ukubwa wa Baraza la Mawaziri kwa afrika huwa haliangalii umuhimu kiutendaji, nafikiri ni kupeana ulaji! Jiulize kwa hii mfano huu, mtu anakuwa mbunge ktk mkoa wa Mwanza alafu anapewa ukuu wa mkoa wa Lindi. Hapa tunalenga utendaji?!!!!!!!!!!
Nawapongeza wazee wetu kwa kusema ukweli bila kumung'unya maneno!
 
TUKUTUKU

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2010
Messages
11,841
Likes
49
Points
145
TUKUTUKU

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2010
11,841 49 145
Hata na mimi nawaunga mkono baraza la mawaziri ni kubwa mno,halina tija kwa watanzania!!
 
mundo

mundo

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2010
Messages
200
Likes
1
Points
0
mundo

mundo

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2010
200 1 0
The problem of Tanzanian English," It is Direct Translation!"
 
C

Chaldmhola

Member
Joined
Feb 4, 2010
Messages
33
Likes
0
Points
13
C

Chaldmhola

Member
Joined Feb 4, 2010
33 0 13
The issue is not english, but rather the message. If your able to understand the message given, then for many Tanzanians, that is good english!
 
K

Kishalu

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
951
Likes
309
Points
80
K

Kishalu

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
951 309 80
hata mimi nawaunga mkono kwa kuwa wakweli bila kuogopa kuandamwa na CCM

kikubwa hapa ni KATIBA

haya mamlaka kwa rais anakuwa nayo ni makubwa kupita uwezo wake na si wa kizazi hiki cha mabadiliko lazima katiba iendane na mabadiliko ya maisha na technology

Jamani watanzani tuamke na kusema KATIBA KATIBA mbona ZnZ imewezekana ?
 
B

ByaseL

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
2,224
Likes
25
Points
145
B

ByaseL

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
2,224 25 145
Okay English apart but I think the message is very clear. It is being extravagant if not patronizing to have 50 ministers for a country that can hardly afford to supply constant power for its development! It is even very clear that the cabinet meeting room was net even meant for 29 full ministers!
 
Bams

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
5,044
Likes
5,939
Points
280
Bams

Bams

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
5,044 5,939 280
Hakuna kitu kinachoudhi na kukera mnapokuwa na kiongozi ambaye hataki kusikiliza wala kupokea ushauri wa maana bali daima furaha yake ni kuhakikisha anakidhi matakwa yake ya kuwapa watu madaraka kama malipo au zawadi. JK anataka amalize uongozi wake akikumbukwa kama kiongozi asiyependa kufuata ushauri wa maana na kufurahia mawazo ya kudumaza nchi? Hakika hatafanikiwa katika uongozi wake if he will continue disregarding advice from such great thinkers.

Kwani Rais huyu hajui kuwa maendeleo hupatikana unapozalisha sana, kutumia kidogo, na ziada kutumika katika kuwekeza? We have a consumption oriented leader. Mawaziri 50, ma DC na ma RC, wote hawa hawana kazi za lazima lakini ni watumiaji wakubwa wa rasilimali za Taifa.
 
VoiceOfReason

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
5,234
Likes
59
Points
0
VoiceOfReason

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
5,234 59 0
Apart from ndugu wa hao mawaziri au people wanaobenefit inderectly au directly no one on their right minds will say kwamba hili baraza ni dogo
 
Mtumiabusara

Mtumiabusara

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2009
Messages
473
Likes
3
Points
33
Mtumiabusara

Mtumiabusara

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2009
473 3 33
Nafikiri kwanza tungejadili job description za mawaziri na manaibu wao kama tunazifahamu. Inawezekana kabisa kutokana na umaskini wetu mawaziri wa Tanzania wakawa na majukumu mengi kuliko wale wa USA. Hii inatokana na kutokuwa na mifumo bora ya utendaji kazi, maadili mabaya ya watendaji km rushwa nk, hivyo kumlazimu Mheshimiwa Rais kuweka kiongozi wa karibu katika kila idara ili aweze kurahisisha utendaji
 
T

Tata

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2009
Messages
5,284
Likes
1,076
Points
280
T

Tata

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2009
5,284 1,076 280
Kwani Rais huyu hajui kuwa maendeleo hupatikana unapozalisha sana, kutumia kidogo, na ziada kutumika katika kuwekeza? We have a consumption oriented leader. Mawaziri 50, ma DC na ma RC, wote hawa hawana kazi za lazima lakini ni watumiaji wakubwa wa rasilimali za Taifa.
You can not solve problems using the same level of thinking that created them in the first place. CCM ni ileile, serikali ni ileile, watanzania ni walewale, sera ni zile zile, viongozi ni walewale wa tangu enzi za Nyerere - guys let us be serious - hakuna maendeleo yatakayopatikana nchi hii mpaka mabadiliko ya kweli yatokee na siyo huu utaratibu wa kuzungusha viongozi walewale.
 
GeniusBrain

GeniusBrain

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
4,321
Likes
20
Points
135
GeniusBrain

GeniusBrain

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2010
4,321 20 135
Mifumo ya uendeshaji wa serikali wa USA na Tanzania ni tofauti. Wao wana utawala wa majimbo ambayo yanaongozwa na Ma- Gavana ambapo wana full authorities, je sie tunao mfumo huo ?.
 
Sokomoko

Sokomoko

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2008
Messages
1,918
Likes
24
Points
135
Sokomoko

Sokomoko

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2008
1,918 24 135
Tatizo nchi yetu inataka kujifananisha na nchi zilizoendelea especial kwenye posho namishahara maana waziri wa bongo analipwa karibia sawa na waziri wa United Kingdom and same to our MP nadhani kwa wingi wa wabunge wa upinzani tuliokuwa wao waanze na suala la posho namishahara pengine kuna watu wanakula commission kwenye hizi posts!
 
N

Newvision

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Messages
448
Likes
1
Points
0
N

Newvision

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2010
448 1 0
Hawa wanaosema ni wazalendo wenzetu lakini JK anawasikiliza na kuwacheka tu maana amebanwa na mafisadi pande zote afanye nini. Tatizo si ukubwa tu lakini pia uwajibikaji wao katika majukumu yao waliyopewa. Wengi hawaelewi waanzie wapi waende wapi katika majukumu yao. Hata wakurugenzi mbali mbali hawana msaada wa mawaziri maana Waziri akiwa laser affair na wakurugenzi wanakuwa hivyo hivyo tu. Maskini Tanzania yangu!!
 
Bambo

Bambo

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2009
Messages
238
Likes
12
Points
35
Bambo

Bambo

JF-Expert Member
Joined May 18, 2009
238 12 35
PROF ISSA SHIVJI, DR AZAVEL, DR HONEST NGOWI etc WAPINGA BARAZA KUBWA LA MAWAZIRI
TANZANIA GREAT THINKERS COMMENT ON UNWANTED BIG CABNET


huyo bolded umemweka kwa nini wakati ye hajasema chochote??!!!!chadema bwana mnayapenda sana majina ya kichaga..teh..teh
 

Forum statistics

Threads 1,237,113
Members 475,401
Posts 29,278,722