hivi hawa wabunge wa ccm wanamatatizo gani?


engmtolera

Verified User
Joined
Oct 21, 2010
Messages
5,094
Likes
71
Points
145

engmtolera

Verified User
Joined Oct 21, 2010
5,094 71 145
Ndugu wana Jf nimekuwa nikisoma habari mbalimbali ktk vyombo vya habari ktk wiki hii nimekutana na habari zaidi ya mbili zinazo lalamikia office za jimbo ambazo wabunge wapya wanatakiwa kuzitumia kwa kazi ya kuwawakilisha wapiga kura wao

chakushangaza ni kwamba hizo office zimekuwa hazina vile vifaa muhimu vya kuweza kufanya office kuwa offece na swala hili limetokea kwa office za wabunge wa chadema tu kama vile mwanza na mbeya.

sasa najiuliza je hizo office tangu awali zilikuwa hazina dhamani za office? kama hazikuwa na dhamani je wabunge waliopita walifanyaje kazi?

kwa upeo wangu mdogo nadhani hizo office zilikuwa na dhamani ambazo zilinunuliwa kwa pesa ya jimbo,sasa inakuwaje hizo dhamani kutoweka baada ya wabunge wa awali kukosa ubunge?

ndugu wana jf hebu tujiulize HAWA WABUNGE WA CCM WALIOTOWEKA NA DHAMANI ZA OFFICE JE HUO NI UUNGWANA?

MAPINDUZIIIIIII DAIMAAAAAAA
 

Forum statistics

Threads 1,204,286
Members 457,226
Posts 28,149,078