Hivi Wana-CUF Waliokuwa Hawajui Kuwa Chama Chao Ni Mamluki Wana Msimamo Gani?

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Messages
10,823
Points
2,000

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2010
10,823 2,000
Yote tumeona yaliyotokea.

Historia imeandikwa.

Kumbe uwepo wa CUF,UDP,NCCR,TLP,na vipanya vingine ulikuwa mchezo wa CCM kuidanganya dunia kuwa kuna demokrasia ya vyama vingi. Ukweli tumeujua. Utitiri wote wa vyama hivi ni matawi ya CCM. Kwa ajili ya kupotosha umma.

Lakini katika upotoshaji huohuo, hasa upande wa CUF wapo waliodhani ni kweli. Wakaapa kuwa wao ni CUF. Wengine hata walipoteza maisha (rejea ya Zanzibar). Leo hii viongozi wao wanawasaliti. Wanaungana na chama chenye serikali iliyoamrisha polisi wawafyatulie risasi za moto ndugu zao.

Swali langu ni kwa hawa wana-CUF watiifu kwa chama chao. Wametapeliwa. Wamehadaiwa.

Wana msimamo gani?

Au waliyajua haya?

Nawasilisha.
 
MrFroasty

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2009
Messages
751
Points
225

MrFroasty

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2009
751 225
Yote tumeona yaliyotokea.

Historia imeandikwa.

Kumbe uwepo wa CUF,UDP,NCCR,TLP,na vipanya vingine ulikuwa mchezo wa CUF kuidanganya dunia kuwa kuna demokrasia ya vyama vingi. Ukweli tumeujua. Utitiri wote wa vyama hivi ni matawi ya CCM. Kwa ajili ya kupotosha umma.

CHADEMA haipo katika orodha, hio ni typo au ndio lengo ?:teeth:
Anyways, mie ni mmoja ya wananchi waliounga mkono jitihada za CUF kwa upande wa visiwani.Hadi sasa naunga mkono harakati zao.Sioni tatizo lipo wapi kwa CHADEMA kususa bungeni au kususa kuwatenga CUF katika kambi ya upinzani.

Kwa ufupi, chaguzi zote za Zanzibar ya mwaka huu ndio afadhali wananchi wasio na hatia wamepumzika na usumbufu.Nadhani wengi wenu munasikia tuu fujo za kisiasa hamujawahi kuziona wala kupata uzoefu nazo.Waliofanya maamuzi ya GNU si CUF, hili suala limepigiwa kura ya maoni.Kwa maana nyengine tulio smart hatusemi ni maamuzi ya CUF, bali ni maamuzi ya wananchi.

Sasa hebu tujiulize Chadema wanapiga kelele za kuibiwa uchaguzi, naomba nipatiwe ushahidi au nyaraka zinazoonesha uchaguzi jinsi ulivyokusanywa na mawakala wa Chadema upande wa Tanganyika.....Then we take the discussion from there.
 
Fiksi.

Wale watu wa CUF walioenda jengo la ZEC na kuanza kuangua vilio kushinikiza matokeo kutangazwa munawaambia nini?

Mumehadaa watu wenu.

Sema ukweli.

Zamani CUF walikuwa wakichukua jimbo moja tu unguja-mji mkongwe.

mwaka huu wamechukua si chini ya ma4.

hii ni kuonesha hata unguja watu walianza kuchoka na porojo za ccm.

ingefika mahali cuf ina viti 30 vya ubunge, ccm 20, lakini Rais ameshinda wa CCM.

kuepusha shari, ccm wakawanunua maalim seif, hamad rashid na lipumba.

wananchi wakauzwa. wafuasi watiifu wa cuf wameuzwa.
 
Bikirembwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2008
Messages
250
Points
0

Bikirembwe

JF-Expert Member
Joined Feb 13, 2008
250 0
Kukukua kisiasa kwa CUF ndio kulikowafanya waweze kuinunua Amani kwa gharama ya kusamehe ushindi Zanzibar. Kama wasingalifikiria maisha na roho za watu zitazopotea basi wasingalikuwa tafauti na CCM.
 
Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Messages
10,823
Points
2,000

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2010
10,823 2,000
Kukukua kisiasa kwa CUF ndio kulikowafanya waweze kuinunua Amani kwa gharama ya kusamehe ushindi Zanzibar. Kama wasingalifikiria maisha na roho za watu zitazopotea basi wasingalikuwa tafauti na CCM.
kwa hiyo unataka kusema kuwa CCM ina haki miliki ya kuongoza nchi hii milele?

vyama vingine hapana?

kwamba CCM ikishindwa lazima roho za watu ziangamie?

hoja yako inazua maswali badala ya majibu.
 
sbilingi

Senior Member
Joined
Nov 16, 2010
Messages
144
Points
0

sbilingi

Senior Member
Joined Nov 16, 2010
144 0
Yote tumeona yaliyotokea.

Historia imeandikwa.

Kumbe uwepo wa CUF,UDP,NCCR,TLP,na vipanya vingine ulikuwa mchezo wa CUF kuidanganya dunia kuwa kuna demokrasia ya vyama vingi. Ukweli tumeujua. Utitiri wote wa vyama hivi ni matawi ya CCM. Kwa ajili ya kupotosha umma.

Lakini katika upotoshaji huohuo, hasa upande wa CUF wapo waliodhani ni kweli. Wakaapa kuwa wao ni CUF. Wengine hata walipoteza maisha (rejea ya Zanzibar). Leo hii viongozi wao wanawasaliti. Wanaungana na chama chenye serikali iliyoamrisha polisi wawafyatulie risasi za moto ndugu zao.

Swali langu ni kwa hawa wana-CUF watiifu kwa chama chao. Wametapeliwa. Wamehadaiwa.

Wana msimamo gani?

Au waliyajua haya?

Nawasilisha.
Inaonekana ulikuwa unafuraji sana kuona binadamu wakiuwana kule visiwani enhee, acha ushabiki wa kijinga. ubinafsi wa chadema ndio sababu wa yote. pilipili ishamba we yakuwashiani?
 
Who Cares?

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2008
Messages
3,532
Points
2,000

Who Cares?

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2008
3,532 2,000
cuf=mission complished...ujue cuf ni chama kilijoanzishwa kuleta mabadiliko zanzibar... walijiandaa kukomboa nchi yenye watu laki 4 na sasa hivi wamefikia 1million...sioni nafasi yao kuleta mabadiliko bara nchi yenye watu million 40 na zaidi..wamefanikiwa kuingizwa serikalini na kuunda mseto na ccm then they are partners in zanzibar for zanzibarians....

huku bara watuache na CHADEMA tulete mabadiliko ya kweli na tukianza na katiba mpya na huru na ikifuatiwa na tume huru ya uchaguzi na mwisho ni kuwanufaisha watanzania na mapato ya maliasili na rasilimali zao... ndiooo... mbona cuf walililia mafuta yasiwepo katika muungano ili yainufaishe zanzibar.. naamini nimeeleweka
 
Sokomoko

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2008
Messages
1,918
Points
1,195

Sokomoko

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2008
1,918 1,195
Yote tumeona yaliyotokea.

Historia imeandikwa.

Kumbe uwepo wa CUF,UDP,NCCR,TLP,na vipanya vingine ulikuwa mchezo wa CUF kuidanganya dunia kuwa kuna demokrasia ya vyama vingi. Ukweli tumeujua. Utitiri wote wa vyama hivi ni matawi ya CCM. Kwa ajili ya kupotosha umma.

Lakini katika upotoshaji huohuo, hasa upande wa CUF wapo waliodhani ni kweli. Wakaapa kuwa wao ni CUF. Wengine hata walipoteza maisha (rejea ya Zanzibar). Leo hii viongozi wao wanawasaliti. Wanaungana na chama chenye serikali iliyoamrisha polisi wawafyatulie risasi za moto ndugu zao.

Swali langu ni kwa hawa wana-CUF watiifu kwa chama chao. Wametapeliwa. Wamehadaiwa.

Wana msimamo gani?

Au waliyajua haya?

Nawasilisha.
BAADA YA mKUMBO KUPEWA JUKUMU LA KUTEUA WANAWAKE WA VITI MAALUM ULIMWENGU PIA UMEJUA HAKUNA DEMOKRASIA NDANI YA CHADEMA NA KUWA VITI MAALUMU NI KWA WATU MAALUM DADA, NDUGU WA KARIBU NA WATOTO WATOTO WA VIONGOZI NDANI YA CHAMA BILA KUSAHAU WAKE NA WALIOZAA NA VIONGOZI NDANI YA CHAMA
 
Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Messages
10,823
Points
2,000

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2010
10,823 2,000
Inaonekana ulikuwa unafuraji sana kuona binadamu wakiuwana kule visiwani enhee, acha ushabiki wa kijinga. ubinafsi wa chadema ndio sababu wa yote. pilipili ishamba we yakuwashiani?
hakuna anayefurahia watu kufa.

hakuna.

ila ninachokiona CUF mumeamua kutumia vifo vya watu kuhalalisha kuua demokrasia ya vyama vingi nchini.

viongozi wenu njaa kali. wamekula rushwa. watu wapo. hakuna siri ya watu wawili. ipo siku siri itafichuka.

nilimsakia bwana hamad akizungumzia kuuwawa kwa wazanzibari kama hoja ya msingi inayo-determine ubora wa cuf dhidi ya chadema. pumba.

alidhihirisha kuwa njaa inamsumbua alipoanza kuimba wimbo wa pesa sh. 100 000 000 za kambi ya pinzani
 
MrFroasty

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2009
Messages
751
Points
225

MrFroasty

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2009
751 225
CUF tayari wametupatia data zao za mawakala kwa uchaguzi wa Zanzibar...Tunataka kuona za Chadema.Hivyo iko wazi Dr.Shein hakushinda, lakini wazanzibari hawakujadili hilo akiwemo M.Seif.Kama wewe ni mzanzibari ungelifahamu vizuri maamuzi aliyofanya Seif yamelenga wapi, na sote tunamuunga mkono kwa maamuzi yake ya busara.

Kwa kukurahisishia, Zanzibar kabla ya uchaguzi wa aina yoyote ile tunashushiwa JWTZ kuja kudumisha Mapinduzi.Na uchaguzi wa mwaka huu haukuwa na tofauti yoyote ile, hata kama ZEC wangelimtangaza Seif inabidi Mapinduzi yalindwe na chama chake cha Mapinduzi......I think you get the logic, dont you ?

Wangelikufa wazanzibari wengi tuu kama Seif angetumia nguvu ya wananchi kuingia barabarani....au worst angekataa matokeo tukarudi tena kwenye migogoro ya kisiasa kama miaka iliopita.Hivyo Zanzibar tuko kwenye better position kwa maamuzi ya Seif.....Anyways, Zanzibar is a complex political entity...if you dont get it, get rid of it :teeth:
 
Gang Chomba

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
10,190
Points
2,000

Gang Chomba

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
10,190 2,000
wakati watoto wa wenzao wanakwenda Tuition, watoto wao walikuwa wanakwenda Madrasa...
Sasa ndio hivyo wanaburuzwa bila wao kujijuwa.
Subirini Ramadhan ifike mkaribishwe ftari ikulu.
 
John10

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2009
Messages
357
Points
0

John10

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2009
357 0
Aliyeanzisha Chadema alikuwa CCM pia. Viongozi wengi wa Chadema walikuwa CCM kwanza. Sasa hivi wamekuja kufanya kazi ya CCM ndani ya Chadema. CCM ilipoanzisha mfumo wa vyama vingi walijua jinsi gani ya kutumia mfumo huo ili waendelee kutawala milele. Chadema, CUF, NCCR nk, yote ni matawi ya CCM.
 
Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
7,523
Points
2,000

Bams

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
7,523 2,000
CUF mainland wake up and walk on your own, do not depend on the tiny Pemba islanders! Ni aibu kubwa kwa CUF kuburuzwa na CUF ya Wapemba, la sivyo msitegemee maajabu ya CUF kuwa na nguvu katika Tanzania, kitaendelea kuwa chama cha Wazanzibari, na hasa Pemba, na wale wenye asili ya huko.

Huo ni ushauri wa bure.
 
Shaycas

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2009
Messages
902
Points
225

Shaycas

JF-Expert Member
Joined Feb 13, 2009
902 225
Aliyeanzisha Chadema alikuwa CCM pia. Viongozi wengi wa Chadema walikuwa CCM kwanza. Sasa hivi wamekuja kufanya kazi ya CCM ndani ya Chadema. CCM ilipoanzisha mfumo wa vyama vingi walijua jinsi gani ya kutumia mfumo huo ili waendelee kutawala milele. Chadema, CUF, NCCR nk, yote ni matawi ya CCM.
Ni kweli waanzilishi wengi wa vyama vya siasa tanzania walikuwa CCM kabla ya mfumo huo kuanza,sababu ilikuwa ni kwamba wakati flani ili uweze kuajiriwa kwenye taasisi yoyote ni lazima uwe na kadi ya TANU *CCM* Hivyo sioni logic yako kama ina mshiko.
Wapo ambao walikuwa wanapinga maamuzi waliyoona ni mabovu tangu mwanzo na wakapata misukosuko mingi lakini walilazimika kkukaa CCM na baada ya mfumo wa vyama vingi walitoka na kuanzisha vyama vyao.e.g Mtikila na wengineo.
 
MrFroasty

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2009
Messages
751
Points
225

MrFroasty

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2009
751 225
wakati watoto wa wenzao wanakwenda Tuition, watoto wao walikuwa wanakwenda Madrasa...
Sasa ndio hivyo wanaburuzwa bila wao kujijuwa.
Subirini Ramadhan ifike mkaribishwe ftari ikulu.
Ukisha soma wewe tuu imetosha.....Sijuwi una elimu gani mwenzetu ya kuweza kusoma CV kutoka kwenye post iliochapwa hapa JF.....This is called stereo typing in English, which normally ignorant dudes have this tendency most of often!
 
Forum statistics

Threads 1,392,128
Members 528,544
Posts 34,099,528
Top