Kwame Nkrumah
JF-Expert Member
- Dec 2, 2008
- 886
- 376
JK hajasafiri nje mpaka sasa !! Safari ya kwanza itakuwa ya wapi? Tutafaidika vipi? Atasafiri mara ngapi katika muhula wake wa mwisho? Safari zitapungua? Mpaka sasa mwanzo mzuri, hajasafiri bado.
Let the countdown begin.
Let the countdown begin.