Rais Kikwete -- Safari Za Kupumzika Nje Zaanza... Huyo Belgium

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,798

*** HAYA RAIS WETU KAANZA NA SAFARI ZA NJE...
AMECHAGULIWA SIKU 30 ZILIZOPITA
HAONGELEI MATATIZO YA UMEME, MAJI NA MADENI AU ANGALAU KATIBA MPYA?


PRESIDENT Jakaya Kikwete left Dar es Salaam on Sunday for Brussels, Belgium to attend the 5th edition of the European Development Days (EDD) opening on Monday at the Square Meeting Centre.

He is joining current and former Heads of State and Government from Europe, Africa and rest of the world; high-level representatives of governments, international organisations
as well as development practitioners, Non Governmental Organisations, media and
civil society at the two-day event which ends on Tuesday.

On his way to Brussels, President Kikwete had a stop over in Cairo, Egypt where he held
talks with his host President Hosni Mubarak which centred on the two countries mutual
relations as well as on international affairs.
 
Misri akawaeleze kinagaubaga-OIC huku haiuziki na yeyote atakayeishikia bango this time anakwenda na maji including Bernard Membe mzee wa OIC
 
kuna mtu aliuliza safari zitaanza lini nikaomba asimkumbushe sasa kazi imeanza ! Nenda kapumzike maana hata hivyo wewe joto la dar halikuhusu sana waachie wapiga kura wako.
 
Sasa hivi watanzania rais wetu hata akienda kuchekiwa afya watatuficha kwa sababu wameshachemsha mambo fulani

Ila ningependa apite na London kucheki afya au hata huko huko brussel ili akirudi atulie japo kwa miezi mitatu.
 
Back
Top Bottom