Ndugu ya VoR utachoka bure ku argue na Waberoya ni popo ndumilakuwili lengo lake ni kuchonganisha CDM na Zitto, leo atamsifia Zitto akigeuka anasema Zitto si wa kuaminiwa toka anasoma naye UDSM. Sisi tunaomuelewa tunamuona kama amechanganyikiwa tofauti na zamani fuatilia thread zake, siku hizi yuko kwenye group la washika vibendera kina Sokomoko na MS wa CUF-CCM na udini ndizo topic anazozifagilia.
Huyu Waberoya nilivyomsoma ni Zitto haters anajifanya sometimes kumtetea sometimes kumsagia lengo ili Zitto akose kotekote hii ni kutokana na grievances zao toka chuoni. Tunajua Zitto ana matatizo yake lakini usilete tofauti zenu kwenye mambo ya uongozi.
Hebu someni hapa eti Zitto ana mtambo wa kusaga kokoto yaani ni maneno yale ya umbea wa kike(samahani wa jinsia hiyo) ili kuleta mvurugano, Zitto mwenyewe alikanusha bahari hizi vikali anamuhusisha Zitto na uislam.
Nilimaliza kwa kusema 'That said, I am just thinking'!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ndio tofauti yetu kubwa hapa! nasema ukweli unapotakiwa, sina ushabiki, leo nitakupinga kwa hili na kesho nitakusupport kwa lile that we call uhuru wa mawazo na sio utumwa wa mawazo.
so unataka kusema kuwa nilivyoandika hiyo article, basi ndio ninamchukia Zitto, angalia nimeandika kwa mtindo wa maswali na Zitto alijibu humu kimoja baada ya kingine, tulimaliza na tunaendelea mbele!! wewe ukirudi nyuma kuna ku-expose jinsi gani yule unayemshabikia akikosea basi huwezi kumkosoa!! si sahihi kwa forum
lugha ya matusi siijui, wala calling names sizifahamu, ila nimeona wengi wakija na kuondoka wenye approach kama zako, maana muda wote mnakuwa na pressure na kutafuta mchawi, mimi nasimamia ukweli, fuatilia historia yangu.
Ukweli ni kuwa nampenda Zitto, na kuuliza swali lolote lile hata la kusikia kwangu mimi ni kuitendea nafsi moyo wangu
Believe me, baada ya ile post nikajua mengi sana yaliyotokea kigoma kwenye uchaguzi wa chadema ambacho wewe unakililia humu!! najua in and out nini kinaendelea ndani ya chama,na tatizo liko wapi. Zitto kwa ujasiri mkubwa alikiri ile statement kuhusu JK alikosea unataka nisema nini tena, nimwadhibu au niwe kipofu kama wewe/
mchango wa Zito kwa upinzani ni mkubwa mno, in chadema i can rank him second to none!! lakini huyu mtu ninapokuwa na wasiwasi lazima niulize. Unauliza mtambo? Zito alipokataa humu, nilfuatilia tena, maana kazi zangu ni hizo. na kuleta taarifa hapa ni kutaka kujua ukweli ndiyo maana ya forum.
Unataka kujua msimao wangu na ni wapi nimekosana na uongozi wenu? mlipokataa tu uchaguzi wa mwenyekiti wa chama, ambao najua zitto angeshinda!! kuanzia hapo nikaizika demokrasia ya cdm ikawa domokrasia!!!
Udini? is not everyone's worries kama nampenda Zito, nataka nijue misimamo yake ,mbona alijibu?
umeona wapi zaidi ya post/thread hiyo nimemkandia Zitto?? ukiipata naacha uanachama humu!!
uognozi wa chadema hauwezi ukachanganyikiwa kwa post zangu, utakuwa umeniinua sana, kwani unanijua?
My worries are over, I have confirmed what was disturbing me, what more do you want? unataka nikuambie mimi mwanachama wa chadema ndio ufurahi? unataka nikuambie?
kifupi uwe na uhuru wa mawazo mkuu, wanaonifahamu wananijua misimamo yangu. sina mkumbo!! hata Slaa analijua vyema hilo,maana ni ndugu mmoja ndani ya JF!!! I am like that , sijaku-ignore wewe uliyejiunga mwaka huu july! note that
Nikaja kujua mengi sana, ya akina Ngurumo, Kibanda, Kubenea n.k, kwa nini waandike article za kuhusu zito wakati nao ni wamoja wao? you know why? thats what we say think!!
you know what, I like Zitto and Mnyika more than anybody in chadema take my words(they have ability), and you know what I hate Mtei kuleta Unyerere ndani ya chadema, that is my words, that is me!! any more words ni wewe mimi simo!! muulize kama nyika sijawahi kumwashia moto na kumsifia.Mbowe tu sijawahi kuwasiliananaye ana kwa ana, because I dont think I will learn anything from him! he is supposed to be mweka hazina wa chama na sio mwenyekiti (mawazo yangu na sio tusi)
samahani kuhusu umbea, then forums is all about that!! huwa tunaanzaga na umbea na watu wanaleta vithibitisho, ndio jamboforums imekuwa hivyo, kama halina vithibitisho basi ni uongo na watu hupiga chini na kuendelea, Ila wote walioleta taarifa humu sijaona kuwa walikuwa wanawake, japo hujanijua jinsia yangu. wala kwa maneno yako haina maana mama yako ni mbeya kwa sababu ni-wakike! sidhanii kabisa kama ana tabia hiyo, labda kama ulimshuhudia live! na akama ulimshuhudia still huwezi ukasema a-kike wote ni wambea huyo atakuwa mama yako tu! ungesema tu umbeya ingetosha, maana habari za akina EL, RA, zilianza kama kuuliza tu!!! hupo hapo???
so unataka ni retract hayo maneno uliyo-highlight unataka nisemeje? nilikosea? no, sijakuelewa unataka niseme sikuandika? then unataka nionekane nani mnafiki kwa sababu UNAMCHUKIA ZITO ULIIFURAHIA HIYO POST YANGU NA LEO NINAMPOSIFIA UNAJIONA SIKO UPANDE WAKO NA KUNIITA MNAFIKI!!!!! dont get it! inabidi nicheke!
what is your take ukitaka niandike article ya kumsafisha Zitto baada ya hiyo article yangu nitafanya hivyo ili ujue niko upande wake, ila nikfanya hivyo uwe tayari kuwabeba wengi watakaoanguka ndani ya chama chako,AU UNATAKA NIENDELEE KUNAIDKA KUWA NAMCHUKIA ilai uzidi kufurahi na kuburudika mimi si mmoja wao, name what you can but this is me! and that what I believe! I asked him to remove my worries, andI am set to be against him in any worng move! But will continue to support him in anything good!! whats wrong with that my dear?/
umeji-expose kwa kuwa mfuata mkumbo na usiyejifikiria aibu hii!