Kumbe Dr. Slaa Angejiapisha tu

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
1,195
Hii serikali ya mseto ya aina yake ya Ivory Coast imechelewa sana kuja. Ulikuwa uwe mfano mzuri sana wa kuigwa na Tanzania, kwa kuwa sisi ni mahiri kwa hilo. Kama tulivyoweka serekali ya mseto kwenye katiba ya Zanzibar kabisa kuonesha tulivyo wabunifu na wepesi kujifunza kutoka kwa jirani zetu. Sasa tuna makamu wa rais wa kumhudumia rais zanzibar na makamu wa rais wa kukaimu madaraka ya rais anapokuwa hayupo.

Sasa kumbe inawezekana afrika nchi ikaongozwa na marais wawili na hata bila kubadili katiba? Baada ya kujifunza ubunifu huu kutoka kwa nchi ya afrika maskini kama sisi, je, Dr. Slaa anaweza kujiapisha sasa?
 
JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,893
2,000
Dr. Slaa anataka apewe madaraka kwa amani na si kujipa kwa nguvu ambayo inaweza kuleta machafuko
 
Butola

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
2,290
2,000
Kama haujaona tofauti ya matokeo ya uchaguzi wa uraisi wa Tanzania na ule wa Ivory Coast basi una matatizo makubwa ya kufikiri.
 
Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
1,195
Dr. Slaa anataka apewe madaraka kwa amani na si kujipa kwa nguvu ambayo inaweza kuleta machafuko

Nakubali mkuu, lakini unajua mara nyingi ni wapambe wanaotaka kuingia madarakani ndio wanaoletaga haya matatizo. Dr. Slaa angepata wapambe wa kutosha kama wa JK, pangechimbika hata kama mwenyewe asingependa. Hivyo nadhani watu wa chadema kwa ujumla wao ni wastaarabu.
 
DENYO

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
698
195
WAPAMBE WA JK NI SHIMBO, USALAMA WA TAIFA, POLISI, NA NEC WAKATI WAPAMBE WA SLAA(PhD) NI WANANCHI, SEMA TU SLAA(PhD) hakutaka kumwaga damu kama walivyowandaa watanzania. Tunamshukuru Dr. Slaa kwa kuipenda Tanzania pamoja na kuchakachuliwa. Inauuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuma.
 
Lakini pale mwembe yanga Slaa alidai majeshi na vyombo vyote vya usalama vinaripoti kwake?
 
Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,684
2,000
WAPAMBE WA JK NI SHIMBO, USALAMA WA TAIFA, POLISI, NA NEC WAKATI WAPAMBE WA SLAA(PhD) NI WANANCHI, SEMA TU SLAA(PhD) hakutaka kumwaga damu kama walivyowandaa watanzania. Tunamshukuru Dr. Slaa kwa kuipenda Tanzania pamoja na kuchakachuliwa. Inauuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuma.

Sio WAPAMBE hao nasikia wote ni wanandugu wameoa huko au wameolewa huko kwhiyo ni WANAFAMILIA!
 
mfarisayo

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
5,161
2,000
Kunja ngumi, kunja ngumi, kunja ngumi, kunja ngumi, kunja ngumi.

Peeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeepoz
 
Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
15,149
2,000
Kunja ngumi, kunja ngumi, kunja ngumi, kunja ngumi, kunja ngumi.

Peeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeepoz

I liked your post, we miss people like you here! 'just laugh'
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom