udiwani viti maalum umuhimu wake nini....... tutaishia wapi


Semilong

Semilong

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2009
Messages
1,711
Likes
49
Points
145
Semilong

Semilong

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2009
1,711 49 145
kwa kweli kila nikijaribu kujiuliza hii sera ya udiwani wa viti maalum nashindwa kuelewa mchango wake ni nini, ukizingatia kila jimbo linatoa madiwani wa viti maalum ambao sio chini ya kumi.
hivi viti maalum vinawajengea wanawake dhana ya kupewa kuliko kutafuta na kuchukuwa.

sasa hivi znz wamekuja na makamu wa rais maalum (seif sharif hamad) yeye hana kazi na makamu wa pili wa rais ndio mwenye kazi, hapa ni kama vile mmbunge wa viti maalum na mmbunge wa jimbo.

ninachojiuliza je uchaguzi ukiwa tete 2015 tutapata waziri mkuu maalum au rais maalum? haya mambo ya viti maalum yataishia wapi?
kweli udiwani wa viti maalum lazima ufutwe
wanawake lazima waongeze bidii na sio kutegemea viti maalum tu.... sorry
 

Forum statistics

Threads 1,235,473
Members 474,585
Posts 29,223,376