Hi!


BRUCE LEE

BRUCE LEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2010
Messages
2,090
Likes
1,177
Points
280
BRUCE LEE

BRUCE LEE

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2010
2,090 1,177 280
Habari zenu wataalamu?ndugu zangu nimekua najiuliza maswali bila majibu,kwa kifupi ni kwamba mwalim nyerere ni roll model wangu na pia alikua anaona mbali sana,amepata sifa kubwa na heshima kubwa ktk nchi nyingi nimeona sanam yake vedado havana cuba tena karibu na the revolution plaza ya fidel castro,pia hata nassau bahamas nilipokwenda kwenye intavyuu ya kazi,baada ya kujitambulisha kua nimeto tz aliekua anani saili alifurahi sana na kulitaja jina la nyerere na kumwagia sifa nyingi na matokeo yake nikapata kazi, sasa huyuhuyu nyerere ndie alietuletea uhuru sisi watanganyika na pia yeye ndie alieshawishi muungano na wa zenj kisha ikazaliwa tz, swali kwanini mzee huyo aliiuwa tanganyika? Na tokea mwanzo muungano huo umekua na migogoro mingi lakini nyerere aliulinda sana mpaka anakufa kwanini? Kuna siri gani hapo? Nisaidie ndugu zangu. Nawasilisha.
 

Forum statistics

Threads 1,238,686
Members 476,113
Posts 29,326,537