Dowans ni mali ya lowassa , rostam?


M

Mwamakula

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2010
Messages
1,892
Likes
94
Points
145
M

Mwamakula

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2010
1,892 94 145
Tajiri wa kiatabu ambaye ni brigadia mstaafu wa jeshi la omani bw suleiman mohammed yahya al andwi alisema alishawishiwa kuja tz na rostam azizi. Tajiri huyu alikuwa na hisa vodacom akiwa na idrisa rashid kama mkurugenzi na willium ngeleja kama wakili
source :dira ya mtanzania leo
 
M

Mwamakula

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2010
Messages
1,892
Likes
94
Points
145
M

Mwamakula

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2010
1,892 94 145
Kwa nini rostam na lowassa wanalindwa hapa nchini??
 
spencer

spencer

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
2,858
Likes
1,465
Points
280
spencer

spencer

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
2,858 1,465 280
:peep: :A S-confused1::frusty:
 
N

Nyota Njema

Senior Member
Joined
Nov 18, 2010
Messages
148
Likes
0
Points
0
N

Nyota Njema

Senior Member
Joined Nov 18, 2010
148 0 0
Rostam amekuwa kiongozi ndani ya CCM na ni rafiki mkubwa wa Kikwete. Urafiki wao ulianzishwa na mbunge wa zamani sana wa Nzega ambaye kwa sasa ni marehemu (Marehemu mzee Mzukira), na ulilenga kumsaidia Kikwete katika azma yake ya kugombea urais. Nilipata bahati ya kuona baadhi ya barua ambazo mzee huyo alikuwa akijaribu kuomba msaada wa matibabu kutoka kwa Kikwete (wakati akiwa tayari rais) kwa kumkumbusha jinsi alivyomsaidia kufahamiana na Rostam.

Pia nina kumbukumbu kuwa wakati wa mchakato wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2005, kuna gazeti liloandika habari za pesa chafu iliyotoka nje kupitia mfanyabiashara wa kiarabu kutoka uarabuni kwa ajili ya kununua magazeti ili yampambe kikwete na kuwaponda wenzie watatu waliobaki kwenye kinyang'anyiro cha ugombea ndani ya CCM. Ni Rostam Aziz aiyefanya mchakato huo, alinunua hisa kwenye magazeti, na sasa bado anamiliki baadhi ya vyombo hivyo vya habari mpaka leo. Zoezi hilo lilienda pamoja na kuwanunua waandishi mashuhuri ikiwa ni pamoja na kuwapa ajira serikalini baada ya Kikwete kuingia madarakani kama akina Betty Mkwasa, Silva Rweyemamu na wengineo.
 
andrewk

andrewk

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2010
Messages
3,104
Likes
59
Points
145
andrewk

andrewk

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2010
3,104 59 145
hivi kweli, naona salva alitoka private sector na kupata ajira ikulu!
 

Forum statistics

Threads 1,235,142
Members 474,353
Posts 29,213,175