JANA katika gazeti hili kulikuwa na habari zinazowaelezea wabunge wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuanza kutekeleza mikakati yao.
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika...
Natoa angalizo kwa Chadema. Mmetumia muda mrefu sana katika kukijenga Chama mpaka kufikia hapa kilipo. Sasa hivi ndio chama kikuu cha upinzani kinacho ongoza kwa wanachama wengi nchini, matawi...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimemtaka mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe kupima mwenyewe kama aendelee na wadhifa wake wa naibu kiongozi wa upinzani bungeni baada ya wabunge...
Nadhani humu ndani JF kuna viongozi wa chadema. Kampeni zilizopita zimeleta hamasa sana kwa wa TZ. Mimi nakaa Kinyerezi watu wanauliza kadi wapate wapi, ofisi ya chama ipo wapi? Nadhani chama...
Jana usiku nilistuka sana wakati nilipokuwa naangalia kipindi cha habari caha usiku TBC 1, kuna habari moja ilikuwa ya kusikitisha ya mauaji iliyotekea Vunjo moshi. Wanahabari walielezea kwa...
KANISA Katoliki Parokia ya Familia Takatifu Jimbo la Sumbawanga, limegoma kuendesha ibada ya maziko kwa marehemu wawili wakidai ibada haitaendelea mpaka pale waumini ambao ni wanachama wa Chama...
Waziri wa Afya Mh. Mponda (Mb) wa kwanza kushoto mwenye suti nyeusi akitembezwa kuangalia huduma za afya katika hospitali kubwa kuliko zote na ya kisasa ya Muhimbili Dar-es-Salaam.
Hapo tunaona...
Waziri 'ajitundika' ATCL
Imeandikwa na Lucy Lyatuu; Tarehe: 8th December 2010 @ 06:11 Imesomwa na watu: 52;
WAZIRI wa Uchukuzi, Omar Nundu amesema, anakusudia kuiwezesha Kampuni ya Ndege...
Salaaam kwenu enyi wana JF,
Binafsi nafuatilia walau kwa kila hatua kile kinachoendelea ndani ya CHAMA CHA DEMOKRASIA NA M AENDELEO. Pengine ninashawishika kuandika mengi juu ya mambo...
Mambo muhimu ya chadema kujifunza kwa haraka
Ushauri wa bure kwa CDM:
-Zitto ni world player, wamuheshimu tena wamuombe radhi.
-Wawe makini na MBOWE, huenda akawa shushushu (pandikizi la...
Wadau, hivi mameya wanatakiwa wawe wamechaguliwa by lini? Maana naona hapa napo pana kazi! CCM zengwe haliishi, hadi kwenye chakula cha mgonjwa...mh, Rorya....
Diwani, mwenyekiti wilaya wajiuzulu
Sasa wafikia watatu, kisa uenyekiti
Mchakato wa kuwapata mameya, manaibu mameya na wenyeviti wa halmashauri nchini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Nyumba ya mwenyekiti yachomwa
Mke wake na mtoto wafia ndani
Ni uasi kupinga Operesheni ya Mrema
Operesheni ya kusaka wahalifu iliyoanzishwa na Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema, jimboni mwake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.