CCM Wanafadhili Migogoro Chadema Kufunika Ufisadi Wao

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,830
2,000
Lakini CCM si wasafi hata kidogo. Kila mtu anajua.

Mara Zito, mara Shibuda, mara Mbowe, mara Slaa, mara Josephine, mara sijui nini.

Upotoshaji ni upotoshaji tu, hata upakwe rangi vipi.

We know and we are well aware of all that rubbish.

CCM wana-deal na kibanzi kwa jicho la wenzao; hawaoni boriti kwa macho yao.

Wanasahau kitu kimoja muhimu: Chadema is the Home of Intellectuals.To CCM, that is a total failure and embarrassment.

Take my words.
 

seniorita

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
674
0
CCM is panicking due to CDM existence because they see CDM as a party with challenging ideas, from well learned and civilized and patriotic people; so nothing that they say will never put CDM down
 

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,830
2,000
CCM is panicking due to CDM existence because they see CDM as a party with challenging ideas, from well learned and civilized and patriotic people; so nothing that they say will never put CDM down


There you are seniorita.

The worse thing is, they are 'using' the media.

Instead of the media reporting on national matters like new constitution, and ways to combat grand corruption, we are now reading gossips about Chadema.

the good thing is we know all these mind games
 

Gad ONEYA

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,633
1,195
Mind games indeed! The tragedy could have been not knowing that much of these schlocks are mind games aimed at distracting the wananchi from discussing the common course on the new constitution! The good thing is that the patriotics are well aware and sail thru!
 

Kinyambiss

JF-Expert Member
Dec 2, 2007
1,374
1,225
Hao CHADEMA ndio wanadhihirisha kuwa ufisadi upo ndani ya akili zetu na sio CCM ndio inawafanya watu wawe mafisadi bali ni wabongo walivyo tuu na weak institutions. Huyo Mbowe na wenzake ndio wangeiba mpaka Yesu ingebidi awai kurudi kuingilia kati. Hakuna mtu ana chomwa sindano ya ufisadi anapoingia ccm, wala kuzaliwa fisadi na mamake... Tanzania must strengthen its institutions.. Parliament, Judicial System, Laws and the Executive.. the Media... watu watupwe jela. Hakuna mauaji Tanzania kwa wingi kwasababu watu wanajua jela sio mchezo lazima ukafe na magonjwa ya ajabu.. Basi na mafisadi nao wapigwe miaka 25.... wizi utapungua sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom