Mtambo wa umeme wa 132kv unaokwenda njia ya kakobe umelipuka jana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtambo wa umeme wa 132kv unaokwenda njia ya kakobe umelipuka jana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwamakula, Dec 13, 2010.

 1. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mtambo uilopo karibu na nguzo namba moja zinazo peleka umeme wa 132kv umelipuka jana asubuhi na kusababisha dsm kukosa umeme . Badra masoud alisema dsm iliathirika kutokana na kulipuka kwa mtambo huo saa moja asb
   
 2. m

  mams JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2010
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 616
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kakobe atapandisha pressure kwa kuwa madai yake juu ya athari ya kupitisha hapo ilipuuzwa
   
 3. k

  kijiichake JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2010
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hamwezi kucheza na mungu banaa! Na bado vitalipuka mpaka wasalimu amri.
   
Loading...