Elections 2010 CCM kwafukuta.... Majeraha ya chaguzi hayatibiki!

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,172
Magazeti ya leo ya Uhuru na Nipashe yamebaini ya kuwa CCM kunafukuta moto na chanzo chake ni kuwa wapo viongozi wengi ambao hawaridhiki na jinsi kura za maoni zilivyofanyika ndani ya chama hicho na wengine wasononeshwa na jinsi kamati kuu ilivyowaengua kwenye kinyang'anyiro cha Uenyeviti wa Halmashauri au Manispaa kwa maana ya Umeya...

Nipashe linatuhabarisha ya kuwa:

Madiwani waliojiuzulu waipasua kichwa CCM...

Huku gazeti la CCM yenyewe Uhuru likikiri ya kuwa:

Makala afichua njama za kumwuua...
Aliowashinda kwenye kura za maoni awahisi kupanga miikakati ya kumtoa roho...
Aweka hadharani mkakakti mzima na awashitaki wabaya wake kwa wananchi...
Huyu ni Mbunge wa Ngomero...
 
Mwalimu aliwahi kusema, ukila nyama ya mtu na yako italiwa.

Wacha wakulane sawasawa.
 
Itakuwa vizuri sana na wao wapate mgogoro mkubwa!ili wakose muda wa kupandikiza mgogoro kwenye vyama vya upinzani!!
 
kufukuta just corroborates the existence of factions and cabals within that party, something they have vehemently denied!
 
Magazeti ya leo ya Uhuru na Nipashe yamebaini ya kuwa CCM kunafukuta moto na chanzo chake ni kuwa wapo viongozi wengi ambao hawaridhiki na jinsi kura za maoni zilivyofanyika ndani ya chama hicho na wengine wasononeshwa na jinsi kamati kuu ilivyowaengua kwenye kinyang'anyiro cha Uenyeviti wa Halmashauri au Manispaa kwa maana ya Umeya...

Nipashe linatuhabarisha ya kuwa:

Madiwani waliojiuzulu waipasua kichwa CCM...

Huku gazeti la CCM yenyewe Uhuru likikiri ya kuwa:

Makala afichua njama za kumwuua...
Aliowashinda kwenye kura za maoni awahisi kupanga miikakati ya kumtoa roho...
Aweka hadharani mkakakti mzima na awashitaki wabaya wake kwa wananchi...
Huyu ni Mbunge wa Ngomero...
Na magazeti mengine yameandika CHADEMA WAPASUKA, Zitto alishwa "sumu", ZITTO KITANZINI, ZITTO AVULIWA CHEO CHADEMA, So. it is not CCM pekee yenye migogoro!
 
Na gazeti la Nipashe la leo linatuhabarisha ya kuwa Madiwani 9 wa CCM sasa wamejitoa na kujiuzulu kupinga kile wanachokiita kuchakachuliwa majina yao au ya wale ambao wangelipenda waongoze Halmashauri zao................
 
Na magazeti mengine yameandika CHADEMA WAPASUKA, Zitto alishwa "sumu", ZITTO KITANZINI, ZITTO AVULIWA CHEO CHADEMA, So. it is not CCM pekee yenye migogoro!

CCM ni tofauti sana na CHADEMA. Watu tunafurahia JAMBAZI, CHAWI, FISADI...lina popata msukosuko. Mtu mwema akipata shida watu husikitika pia. Kwa Kihaya: "The mass sympathises with a righteous person and not a wicked one". CHADEMA is righteous; CCM is wicked.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom