Sijawahi kusikia ccm wakisema wamefanya makosa inchini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijawahi kusikia ccm wakisema wamefanya makosa inchini

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by niweze, Dec 10, 2010.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Leo Wananchi Tukiangalia Makosa na Uhaini CCM Imeifanyia Tanzania, Tutaona Hata Mara Moja Viongozi wa CCM Hawatoi Msamaha Wala Kukubali Wamewaumiza Wananchi Wao. Tukianzia Rushwa, Umaskini na Kutokuwa na Majibu ya Uchumi. Leo Tukiangalia Maisha ya Watanzania, Tutaona Kuna Matabaka Mawili Makubwa: Walioiba na Maskini. Huu ni Mfumo Upi wa Uchumi au ni Mfumo wa "sisiemism" Imekuaje Wananchi Ambao Ndio Wengi Hawana Kazi na Hawawezi Kulipia Watoto Wao Mashuleni na Kushindwa Kujilipia Mahospitalini? Huu Utajili Unaotokana na Madini Unaenda Wapi? Ni Nini Sababu za Kufungwa na Kumalizika kwa Viwanda Tanzania? Ni Nani Anaruhusu Uingizaji wa Mchele, Mahindi na Sukari Tanzania Wakati Wakulima na Wafanyakazi Wanazidi Kufukuzwa na Wengi Kulipwa Mishahara Isiowatosheleza? Huu ni Uchumi au Ni Vyuo Gani Vinafundisha Uchumi wa Namna Hii? CCM Mkae Mkijua Mnawashikilia Watanzania Hostages, Tuachiliene Tuiendeleza Inchi Yetu. Tunataka Kufanya Kazi na Kupiga Kura kwa Uhuru...

  "Mapinduzi Hata Mara Moja Hayataletwa na Viongozi wa CCM. Sisi Wananchi Lazima Tupiganie Hizi Haki Zetu Wenyewe"
   
 2. K

  Kishalu JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 850
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  majibu yote yatajibiwa na katiba mpya na kama ccm hawatakubali kubadili katiba kwa sasa wao watakuwa wa kwanza kuidai pindi wakianguka 2015 maana hata wasomi wamediriki kusema hawana imani na viongozi wa serikali kabisa kwa hiyo hapo ni serikali kuondoka kabla ya nguvu ya umma
   
 3. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sisiemu wako kama mwenye dhambi ambaye hawezi kukiri kuwa ni mwenye dhambi mpaka kwanza akubali ukweli wa mahubiri!!!!!!!!!!!!! sisiemu wanajua walivyo wachafu-matokeo ya kura za maoni-sasa hivi katika serikali za mitaa ni ushahidi tosha-ila kwa sababu hawajakiri mapungufu waliyo nayo-ila waangalie wasijidhanie wamesimama-wataanguka ghafla kwa mshangao wao!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 4. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wataanguka kama kapu la mawe wasifikirie wame simama
   
 5. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #5
  Dec 14, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,402
  Likes Received: 3,728
  Trophy Points: 280
  MS jibu tafadhari...................
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  kwani umewahi sikia kuwa UCHUMI wa Tanzania Umeshuka??? mimi huwa nasikia unapanda tuuu!
   
 7. P

  Paul S.S Verified User

  #7
  Dec 14, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Ukiwauliza leo cdm kama kunampasuko ndani ya chama watakwambia hamna ni changamoto tu.
  Na ndivyo ilivyo kwa ccm watataja mpungufu yao kama changamoto
   
Loading...