Tukubali tusikubali Chadema inakua

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Juzi kulikuwa na Kamati kuu za vyama viwili vikuu vya CDM na CUF lakini inayozungumzwa na kujadiliwa zaidi ni CC ya Chadema. Tukubali ukweli Chadema inakua karibu kitakuwa baba wa mageuzi ni ukweli wa uchungu kwa ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom