Wafanyabiashara tanzania ni mafisadi au hao hao ccm? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafanyabiashara tanzania ni mafisadi au hao hao ccm?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by niweze, Dec 14, 2010.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tukitembelea Nchi Nyingi Duniani Tunaona Jinsi Gani Instutions Nyingi Katika Nchi Zao Zinavyofanya Kazi Lakini cha Kushangaza Tanzania Wafanya Biashara Hasa Wakubwa Kama Mengi Wanakula Sahani Moja na CCM. Kuna Mengi ya Kuuliza Hawa Wafanya Biashara Wananufaika na Chama cha CCM? Haya Makampuni Tunayaona Kila Mahali Tanzania Yanaonekana Wananchi Wengine na Wageni Wanayamiliki Kuna Uwezekano Mkubwa Mafisadi wa CCM Ndio Wanayamiliki. Mfanya Biashara Yeyote Yule Anayetaka Faida Safi na Nyeupe Siku Zote Anataka Business Nzuri na Uhusiano na Customers Wake Ila Huku Tanzania ni Tofauti. Wengi Wananchi Tulitegemea Wafanya Biashara Kama Mengi na Wengine Wangekuwa Upande wa Wapinzani Ili Kulazimisha Mabadiliko Tanzania. Hawa Wafanya Biashara Kama Kweli Wanafanya Biashara za Kweli Wangetaka Nchi Iwe na System Ambazo zina Transparency na Kuzuia Corruption. Wengi Watakueleze Jinsi Gani Ilivyo Ngumu Kufanya Biashara Yeyote Tanzania Bila Kuwahonga CCM. Mishahara Wanapata Lakini Wanataka Kula Mtaji Wako Wote na Kuumaliza Kabisa Hapo Bado Hawajakupa Leseni...Tanzania kwa Kifupi Hakuna Biashara Ila ni Ubabe Tu. Wananchi Tujue Moja Hakuna Investors Yeyote Waukweli Atakae Kuja Kuinvest Tanzania Katika Environment Kama Hii, Wengi Wanaitwa Investor ni Wale Wanataka Kutake Advantages na System Mbovu na Kusaini Deals za Wizi Migodini na Kununua Biashara Hewa Kama Tanesco. Tumuulize Lowasa, Mkapa, Chenge na Wengine Ilikuwaje Wakafanikiwa Sana Kutuibia Hizi Pesa?

  "Wafanya Biashara Wote Tanzania Tunawafuata Nyie Sasa na Msipo Badilika Tutawaweka Kundi Hilo Hilo na CCM, Amkeni Muijenge Nchi Yenu"
   
 2. T

  Tata JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2010
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Utamlaumu kila mtu lakini hii nchi kila mtu ni fisadi. Hawa viongozi ni wawakilishi tu wa tabia za jamii wanayoiongoza. Ni uendawazimu kutarajia viongozi wa CCM walioingia madarakani kwa rushwa wapambane na rushwa. Hii itakuwa ni sawa na kukata tawi la mti ulioukalia. Vivyo hivyo siyo rahisi kwa CCM kubadilisha Katiba iliyopo kwa hii katiba ndiyo imeweka msingi wa rushwa Tanzania.
   
Loading...