Nssf, ppf na wengineo ni wanadhulumu wanachama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nssf, ppf na wengineo ni wanadhulumu wanachama

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BLUE BALAA, Dec 14, 2010.

 1. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  NSSF, PPF NA WENGINE WANADHULUMU WANACHAMA WAO

  Taasisi nilizozitaja huwa sizitofautishi sana na mtu uliyempa kazi ya kukusanyia pango ya nyumba yako na akutunzie pesa zako lakini pia utampatia ujira.. Lakini cha ajabu mtu huyu akishakusanya pesa anafanya mambo yafuatayo na wewe hutakiwi kuingilia hata chembe.
  NSSF/PPF
  1. Wanapanga kiwango cha michango toka kwa wanachama 10% of basic salary
  2. Wanalazimisha waajiri nao wa top up 10%
  3. Wanaweka michango yetu bank na wao wanakula riba
  4. Wanajenga majumba na wao wanakula kodi ya pango
  5. Wananunua hisa kwenye makampuni na wao ndo wanakula dividend
  6. Na mengine mengi tu.
  WANACHAMA
  1. Vyote kati ya hivyo hapo juu sisi wanachama haturuhiwi kufaidkika na hata kimoja
  2. Ukiacha kazi ukitaka michango yako unaambiwa usubiri miezi sita ndio uanzae ku claim
  3. Na pia baada ya ku claim inakubidi usubiri si chini ya miezi miwili kulipwa
  4. Hata ukilipwa michango hakuna chochote kinacho ongezwa dhidi ya ile ile michango yako

  Je kuna haja gani ya kutumia hivi vyama?
   
 2. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Wezi wakubwa!
   
 3. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,399
  Likes Received: 3,726
  Trophy Points: 280
  Sioni sababu ukizingatia kuwa hao hao ndiyo wanawapa wafanyakazi moyo wa kuacha kazi ili akazichukue hela hizo..... tehe.........tehe.........
   
 4. m

  mams JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2010
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 616
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Akiba haiozi, ukipata utajua umuhimu wake. Usiaachie ikae kwao mpaka utakapostaaf. Ikituna chukua fanyia jambo la maana
   
 5. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #5
  Dec 14, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  NSSF ndio wanaboa zaidi, ukiacha kazi ukaenda kudai hela yako wanakwambia usubiri miezi 6 kwanza!
   
Loading...