Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

• CHADEMA yaandaa mkakati mzito kudai Katiba mpya na Mwandishi wetu CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa kitawasha moto wa madai ya kutaka Katiba mpya itakayokidhi...
0 Reactions
0 Replies
898 Views
Mwelekeo wa topic za siasa humu JF ni katika upeku peku, upashkuna, uongo, unafiki, wivu, kejeli, na mipasho, nad mwelekeo huu unaboa (unaniboa). Nothing great in the posts that are currently...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hatimaye manispaa ya ilala imepata meya mpya ambaye ni ndugu Jerry Silaa, amewashinda Abuu Juma, aliyekuwa meya na Bisalala Salum, taarifa zaidi baadae
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wana JF, meskia tetsi kwamba Badra Masoud, yule dada madoido wa lile shirika la Umama Tanesco ametimuliwa katika ile post aliyokuwa akishikilia ya Public Relation Officer, plz mwenye data za...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
nependa kujua utaratibu wa nchi yetu amabayo tangu uhuru imeshindwa kutatua nguzo muhimu ya chanzo cha uchumi wa nchi yetu, Sisi wajasilimia mali Umeme ndicho chanzo muhimu cha kuendesha maisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CCM Morogoro yachafua hewa na Mwandishi wetu, Morogoro CHAMA cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Morogoro mjini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa kitawasha moto wa madai ya kutaka Katiba mpya itakayokidhi matakwa ya wote. Akizungumza na Tanzania Daima Jumatano katika mahojiano...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Hivi sasa ni heri kuishi bila kuwa na vyombo vya usafiri kama vile magari n.k,hapo mwanzo walikuwa wakilipia parking kwa siku na kiwango kikitegemea aina ya gari.Lakini sasa imetangazwa kwamba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TAMISEMI Imetoa maagizo Wakurugenzi, Mayors, Wenyeviti wa halamashauri na wakuu wa idara wakae vikae mnamo tarehe 17/12/2010 kwa ajili ya utambulisho na kuanza mipango ya maendeleo. Ila wanawake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Madiwani 9 wahojiwa na TAKUKURU na Moses Ng'wat, Mbeya TAASISI ya Kuzuia na Kupambana Rushwa (TAKUKURU), mkoa wa Mbeya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Msimamo wa Chadema haujabadilika by Dr. Wilbrod Slaa on Tuesday, December 14, 2010 at 7:29pm Kuna taarifa ambazo zimekuwa zikiandikwa na kuripotiwa na vyombo vya habari ambavyo zinaashiria...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Tanzania experienced a high tide in corruption levels this year compared to last year, according to new findings of a corruption perception survey (CPS) released recently by Concern for...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
( Hii ni sehemu ya makala yangu ya Raia Mwema iliyochapwa leo Jumatano) Ndugu Zangu, WAKATI wa uhai wake, Profesa Abdulahaman Babu alipata kusema, kuwa ukichanja mwili wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kijarida hiki wiki hii kimekuja na mpya mbili zinazoonyesha kumbe waislamu wanataka CUF ishinde. 1.Lipumba afunika msafara wa kikwete. Wanadai kuwa watu wengi hivi sasa wameelimika na wanahitaji...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
WanaJF, wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu, Tendwa ambaye ni msajili wa vyama vya siasa alitabiri kuwa katika uchaguzi wa mwaka huu, vyama vya upinzani vitapata viti vingi vya ubunge, jambo ambalo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau baada ya kufuatilia kwa karibu kabisa elimu ya mwenyeki wa cdm mbowe bila mafanikio, ningependa kujua cv ya makamo wake bara mh arfi hasa upande wa elimu ili kuondoa dhana kuwa cdm...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kwa mara ya kwanza ktk historia ya nchi yetu, suala la udini limewekwa hadharani na kiongozi wa nchi baada ya kuwa limetumiwa na chama chake kumdhibiti Prof. Lipumba mwaka 2000 na mwaka huu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nguvu zile zile na ari ile ile kwa kasi ile ile ya Operation Sangara iliyotumika kuhamasisha wananchi kujua haki na wajibu wao, sambamba na kufanya mabadiliko ya mfumo wa utawala, sasa itumike...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimekuwa nifuatilia sana mijadala ya baadhi ya wanaJF kuhusu hatima ya Chadema na upinzani kwa ujumla. Wako ambao wamekuwa wakiona kuwa CDM itaanguka na hasa baada ya kukataa kuwashirikisha Cuf na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuanzia 1995, kumekuwa na juhudi zisizozaa matunda za vyama vya upinzani kuwacha tafauti zao na kuungana. Ki mtazamo wangu, kuna mirengo miwili mikuu ya kisiasa: Mrengo wa kulia unaowakilisha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom